Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo.
Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa(ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu.
Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza " MaT2B unatumia pyafum gan?"
Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye : Why?
Mimi : nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and i don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: but sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo.
Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K.
Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli!!???
Mkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
Ulienda vizuri, ila ukiomba namba, kaa kimya usianze kujitetea au kumbembeleza kwanini unataka namba. Apo ndo uyo demu alikupata na akaanza kucheza na akili yako kujua utaweza kumuhimili au la.Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo.
Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa(ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu.
Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza " MaT2B unatumia pyafum gan?"
Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye : Why?
Mimi : nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and i don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: but sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo.
Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K.
Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli!!???
Ukiwa mbishi utaendelea kukosa mademu, shauri yako.Acha mambo yako nipake matakoni tena.
Upuuzi huo.
Mmmh, ipo hii?
Wabongo tunapenda zenye majina ya kigeni.
[emoji2]
kisayansi... hii nilisikia mahali wataalamu wakishusha nondo...Mkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
Diable bleu mara ya mwisho nanunua ilikua inauzwa 15k sijui sasa hivi bei gani maana mambo hayo nishaacha sasa hivi napendelea spray tu maana hazina harufu kali kama pafyumNdugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo.
Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Huwezi kugundua harufu uliyonayo mpaka uambiwe....huyo dada sio kama anapenda unukie....labda ni namna tu ya kufikisha ujumbe...Mkuu mimi si nukii kama beberu.
Naoga mara kwa mara
Navaa nguo Safi
Nakula vizuri,
Nakunywa maji ya kutosha
Nanina piga zoezi.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeEndelea kupaka mwili mzima, hasa mgongoni kushuka matakoni.
Ndo hivyoDuuh, elfu Selasini nauli ya kwenda moro na kurudi hii ujue.
Pole sana Mkuu kwa fedheha
Njoo nikuuzie perfume kwa 25k tu.
Zipo nyingine 15k oil perfumes.
Anza na Black Opium,
Chukua Creed Aventus
Chukua Mousuf.
Chukua Sauvage
Chukua Invictus.
Hizo ni Basic ati ambazo mwanaume hutakiwi kukosa .
Nimezipanga kwa preference yangu.
Ukiwa nayo moja katika hizo hakuna mtu atakuchomolea.
Za kupima huwa zinaisha saa 5 asubuhi mkuu
Ya 30000 labda ya kupima ambapo kwa perfume ya maana utapata mls.10Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Kama kawaida leo jioni natoka maskani naingia mtaa kidogo- lengo kunyoosha misuli, kupunga upepo na kutazama uumbaji nitakao kutana nao.
Nikakutana na huyo binti, mzuri kawaida, kapendeza zake.
Nikawaza kwanini nisifanyie mazoezi uwezo wangu kutongoza niliofundishwa na Mwalimu wangu, Jacksonian.
Basi nikamsogelea binti wa watu,. Salamu, kisha blaablaa kadhaa (ambazo huwa hatuzikumbuki hata tulisema nini).
Binti alikuwa anaonesha ushirikiano wa kawaida, kama ilivyokawaida yao.
Basi nikaona nisipoteze muda ngoja niamie kwenye kile kipengele muhimu zama hizi( kuomba namba).
Nilivyomuomba tuu namba, binti akafikiria kama dakika 1.
Ile nataka kufungua mdomo ili nikazie zaidi.
Ghafra binti akasimama, kama vile kasahau kitu. Akaniuliza unaitwa nani rafiki, nikamjibu kama vile sikumwambia hapo awali.
Akaanza "MaT2B unatumia pyafum gan?" Nikajifnya kuuliza mbona mimi sijapulizia leo pafyum."
Yeye: Why?
Mimi: Nimetoka kuoga sasa hivi, sijaona haja ya kupulizia.
Yeye: No, no. Tafuta pafyum nzuri, the next day you approach a lady, make sure unanukia harufu nzuri ya pafyum. Itakuongezea point, mvutie mtu kwa harufu yako.
Mimi: ..........
Yeye: and I don't mean unanukia vibaya, no, sijanusa harufu yoyote kutoka kwako.
Mimi: But sio kwamba huwa sijipulizi ila nimependa tuu kuwa out of pafyum leo.
Yeye: ok you gotme, and am sorry, taken already. Do what i told you en you will find a beautiful lady.
Nikawa sina neno, nikamwambia Ok goodnight.
Nikabaki kumuona mtoto mzuri ana ambaa ambaa huyo.
Kwa fedheha niliyopata, nikaamua haraka nimpigie demu angu, Jesca. Hajali haya mambo. Kwanza kale la body spray kangu huwa anang'ang'gana nimnunulie na yeye.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
Mkuu location wapi?Za 25k siyo za kupima.
Hizi za 15 ndio za kupima.