Huyu dada leo kanichana ukweli

Jiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejesho
Naunga mkono hoja akishindwa kabisa akanunue hata ya kichupa cha kupima.
 
Inaumiza sana.

Kuna jamaa tulikuwa nae chuo, jamaa alikuwa anatoa harufu moja, ukiwa hauko sawa Utapiga chafya, halafu kibaya zaidi alikuwa anasweat kweli.
Tulikuwa tunamuonea huruma.
 
Pia jitahidi Mkuu,
Kama una jasho Kali, karibu kutumia limao.
Uwe unajimassage kwapani asubuhi na jioni.

Pia tafuta deodorant,itakufaa mchana.
 
Hakika andiko hili linasadifu wanayofanya vijana wa kitanzania kukuza uchumi wa Taifa letu. Mimi binafsi naona hata hili ni juhudi za serikali yetu chini ya uongozi wa mama suruhu hasani samia. Mimi nawaambieni mambo anayofanya mama huyu ni makubwa sana
 
Pia jitahidi Mkuu,
Kama una jasho Kali, karibu kutumia limao.
Uwe unajimassage kwapani asubuhi na jioni.

Pia tafuta deodorant,itakufaa mchana.
Kwamba nikinunua pafyum napuliza asbh tuu?
 
Vijana tunajitahidi kulipa kodi, mzitumie kwa Adabu.
 
Naunga mkono hoja akishindwa kabisa akanunue hata ya kichupa cha kupima.
Tofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipoje
 
Kwamba nikinunua pafyum napuliza asbh tuu?
Limao na deodorant ni kwa ajili ya kwapani tu Mkuu.

Kabla hujaoga asubuhi unajimassage kwapani na limao
Jioni pia unajimassage na limao kwapani.

Limao linasaidia kukata harufu ya jasho la kwapa.

Nunua deodorant pia.
Hii hapa unapaka ukishaoga.
Unapaka kwapani.
Deodorant inaleta harufu nzuri kwapani na inakata harufu ya jasho na inapunguza jasho kutoka kwa kasi.

Then sasa utatumia na perfume utakazokuwa umenunua.
Utakuwa smart sana [emoji4]
 
Asante.
 
Tofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipoje
Inategemea na mills kwa yakupima na mahali tofauti ni bei.Anza na ya shing80.
 
Tofauti ya Creed Aventus ya kupima na bayo ipo ready kwa chupa yake ni ipi ni hora na priceTag zake zipoje
Tofauti yake ni ujazo

Ukitaka kununua nzima nzima makopo yake so chini ya laki3.

Hizi za kupima zinauzwa kwa mils.
 
Mafuta ya cocoabata mbona yananukia fresh tu
 
Asanteni wote kwa ushauri wenu.

Be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…