Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Huyu mchumba wangu yeye na gest house ni paka na panya ,anataka aje kwangu sasa wakati mwingine mazingira ya kwangu hayaruhusu . Ninaishi na binamu yangu na wakati mwingine panakuwa na watu wananitembelea sasa huwa kwa maongezi zaidi.Nammshauri twende hoteli hapendi
Nishaurini nifanyaje.
Nishaurini nifanyaje.