Huyu dada hataki twende guest, anataka aje kwangu

Huyu dada hataki twende guest, anataka aje kwangu

hayo mazungumzo gani yakufanyia hotel?
Tafuta room ya peke yako ushakuwa mkubwa wewe, tabia za kulala watu weengi kama mko mochwari haikufai tena, mnaweza kuambukizana hata TB!

Hahahahahaha
 
Kuwa mkweli kwa mpenzi wako sasa wewe unachoficha nini? Au unamke nyumbani hutaki afike? Kama anakupenda hatajali kama hauna kitandani au la. Anayofanya ni vizuri guest yeye kawa malaya? Au unataka onenight stand? Basi umueleze kama you are not into her.
 
Ndo koridoni au wapi hapo chumba kirefu. Sio chumba kierfu ila inasongana na nyumba ya mwenye nyumba anapolala . Changanya na ndugu m wageni unaweza kuharibu PIIIIIIIIIII
Chumba kirefu ni sebuleni....yaani unakuwa mtu wa mwisho kulala na mtu wa kwanza kuamka.........
 
mke mtarajiwa mzuri huyo anaona kwenda guest ni matumizi mbaya ya pesa ushauri wangu oa huyo.
 
mke mtarajiwa mzuri huyo anaona kwenda guest ni matumizi mbaya ya pesa ushauri wangu oa huyo.

Yaani mazingira ndo yanagomba kwakuwa sijakaa fiti pia nashindwa kufosi mambo kuna viheshima tumejijengea kwa wadogo zetu tunaokaa nao mjini huwezi kuvivunja
 
Kama mchumba mzoeshe mazingira ya kwenu wala usiogope.

Kama maongezi ya kawaida jichanganye nae na ndugu zako na kama mkiwa na maongezi ya faragha unaweza ukatoka nae ukiwa unamsindikiza njiani mnaendelea na maongezi yenu.

Kama ukiwa unataka kujipumzisha nae muombe binamu yako akupe faragha ikiwezekana binamu akalale sebuleni
 
Back
Top Bottom