Huyu Dada anastahili pongezi kwa kweli...Tazama.

hapo ni Morogoro wenye ile Petrol Station ya TIOT huyu dada anatakiwa kweli aendelezwe kani ana kipaji akiwezeshwa atafika mbali sana, Sijui Mama Rahma huwa anatembelea jamvi letu amwone atume vijana wemweke Twiga Stars
 
Duuuuh, huyu dada so, tena Msamvu hiyo......... filling station ile ya kaaribu na Makuti..............
 
Wooooh, what a talent on streeet! Yupo juu! bad think i cant help. :help:
 
Kama gaucho, mpaka bega we mtoto noma..... Twiga stars wako wapi.... Hawamuoni huyu?? Au mpaka awe mtoto Wa mjombaake na kocha flani?
 
kiukweli Dada ni noumer,..... lakini kitaa wapo wengi tu wenye vipaji vya hivyo shida serikari haijatengeneza mazingira ya kuvifanya vipaji vyao kua ajira na hata mwisho wasiku kuongeza pato kwa taifa.
 
Huyu ndo anayefaa KUWEZESHWA na ataweza, siyo wanao kaa saloni na bar wanasubiri wawezeshwe! Sana sana wata ambulia ofa ya ulabu na kubebwa kwenda kulitumikia taifa mpaka majogoo!
 
Kweli anastahili sana kuendelezwa kama wenzao wenye kupewa fursa hiyo.


 
Last edited by a moderator:
Yuko juu anastahili kupewa matunzo ili aje awe mmoja wa wapiganaji kwenye timu yetu ya Twiga Stars
 
Kwa kweli huyo dada ni mkali wa soka na akionyeshwa njia tu ni hazina kubwa kwa Taifa Queens na nchi kwa ujumla.
 
She can only be compared with Ronaldo! I'm gonna send this youtube to big clubs! Scouts will be hunting for her!
 
Ni kweli kabisa, huyu binti mi binafsi nimewahi kumuona live pale Magomeni Usalama akionyesha show hizo. Tatizo ni kwamba anaelekea hana mtu wa kum-guide na mwenyewe pia hajui potential yake. Yaani inasikisitisha, anafanya hayo maonyesho ili apate hela ya kula tu siku hiyo. Ninavyoona hiyo picha hata hapa Dar pia kaondoka, kwani nahisi hapo ni Morogoro. TFF mpo?
 
Duh! Mkali sana halafu katulia kwa kufanya vitu kwa uhakika......anastahili kabisa kuwemo katika Timu ya Taifa ya Wanawake.
 
Talented she is but playing soccer goes beyond juggling the ball. Tactical awareness, positioning, fitness, football IQ and many other things. What I think most people on here have overlooked is the fact that natural talent is not all that is needed to become a top player. Good thing for her is that most of those things can be learned and with the right guidance and tutelage she can get there, but above all she has to be motivated herself to begin with. How many times have we seen uber-talented footballers not reach their full potential because they failed to mold their natural talent into something useful on the pitch. A good example is Adriano (former Inter Milan player) who did reach very high levels, but he potentially could have achieved much more. Huko kote mbali sisi wenyewe tuna jamaa yetu anacheza ule mpira wa kikapu ila look what happened. He obviously was drafted so high (2nd overall) because of the enormous potential he had but we all know what has befallen him since. All that aside I do agree though that she should at least be given the chance to exploit her potential at least that way we know that if she did not make its due to other reasons besides not being given a chance. I do realize my posting is heavily ladden with skepticism but trust me I wish her very well like everyone else here does.
 
Back
Top Bottom