Huyu dada ana deserve "Oscar" award

Noelia hebu toa ushuhuda..mie nachojua age hizo unapata raha ila sio raha tunayoijua sisi au naongopa ndugu yangu🤣🤣..raha yetu usipokua makini kbs unaacha wanao
Kufeel utamu nilikuwa 26, na hiyo nanihiiii ya uhakika ni juzi tu nikiwa 29 kwangu mimi Sasa wengine sijui ilikuwaje

Chini ya 26 nilikuwa nabakwa tu dadaangu😥
 
Nimeiangalia hii clip ambayo huyu dada amefanya "cover" kwenye sauti ya mchungaji mgogo, aisee huyu dada ana kipaji cha hali ya juu! Hii performance aliyoonyesha hapa ni kiwango cha hollywood Nampendekeza kwenye tuzo za Oscar mwaka 2021 jina lake liwepo..!
Mkuu, kwani kujirekodi Tiktok kwahitaji ujuzi na kipaji, ama umeamua tu kutufurahisha?
 
Mkuu, kwani kujirekodi Tiktok kwahitaji ujuzi na kipaji, ama umeamua tu kutufurahisha?
Kipaji nachokizungumzia hapo ni cha kuigiza mkuu, japo najua hapo labda katumia tu simu kujirekodi. Nawaza huyu ukimkutanisha na script iliyoandikwa na mtaalam kama Marc Cherry, LaManna au Todd Phillips halafu kwenye production umuweke mzee mzima Birnbaum itakua ni balaa 👍
 
Back
Top Bottom