binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,392
- 41,849
Ameshakufa mshangazi ndio kagundua leoIt's a sad reality that being a provider in this generation is a thankless job.
Tunapigika mtaani, tunaficha maumivu, alafu bado tunaambiwa mwanaume hapaswi kulia.
We need more women who can see the bigger picture like her, big respect to her for being the voice of reason when most women are blinded by social media standards
Indeed💯 as a society female should embrace their feminine aspect and be an encouraging figure for men working their ass off, to keep roof over their heads and meals on their platter.It's a sad reality that being a provider in this generation is a thankless job.
Tunapigika mtaani, tunaficha maumivu, alafu bado tunaambiwa mwanaume hapaswi kulia.
We need more women who can see the bigger picture like her, big respect to her for being the voice of reason when most women are blinded by social media standards.
Ndivyo ilivyo kwani wewe ndio umekua kupitia chapisho lake?Zamaradi..
Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu.
Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume..
Kaelezea how majeraha yetu hayasikilizwi, how tunapaswa kushow up hata kama nafsi zetu zinaumia
View attachment 3616465
Katika jamii ambayo wanawake wamekua kama silaha ya kuchapa mwanaume mtafutaji Nam appreciate zamaradi kwa kutuheshimisha na kutupa moyo.
Wanawake wenye wisdom namna hii ni rare kuwapata na ni treasure kwa taifa
Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu watoto wa kiume wanapaswa wapambaniwe sana... Kuna watu kama kina anko T na wengine wengi mtaani
So zamaradi as always huwa akipost nasikiliza ni mwanamke aliyepevuka huta Kuta anaongelea sijui mme wangu Kani cheat, sijui wanaume ni Mbwa and all that..
Wanawake kuna la kujifunza kupitia huyu mwenzenu sio kila kukicha kutafta namna ya kuwaibia wanaume as how baba levo puts it
View attachment 3616469
Ni hayo tuu, weekend njema
You are so creepy dudeKamjengee wewe hilo sanamu kwa heshima ya wanaume wote na umuoe .....
Hivi yule mmewe aliyemuwekaga kwenye bango kubwa bado wapo ?Anatafuta mileage tu huyo, baada ya kuona hasemwi mitandaoni ! Hivi unajia hawa wenye numbers mitandaoni wanaishi kwa ku Trend?
Unfortunately, tunapoelekea, sifa ya encouraging figure inazidi kufutika.Indeed[emoji817] as a society female should embrace their feminine aspect and be an encouraging figure for men working their ass off, to keep roof over their heads and meals on their platter.
Better late than never! Wengine wapo kwenye social media miaka yote hawajawahi kusema kitu cha maana hata mara moja.A
Ameshakufa mshangazi ndio kagundua leo
Wanaume hatuhitaji hizo favor, acha tupambane na hali zetu, mwanaume hahitaji kutambuliwa, yeye utambulisho wake upo bila kuomba kutambuliwa...
Matendo yanasema
Alichokiongea kinapaswa kuzungumziwa sana, kuna usemi unasema Patriachy sio tu imewafelisha wanawake bali pia imewafelisha wanaume.
Wanaume mnaikumbatia patriarchy lakini in a bigger picture sijui kama mnafahamu mnachokikumbatia, Matarajio ya jamii juu ya uanaume wa kweli umekuja na gharama kubwa sana.
Conditioning’s na construct zilizowekwa na patriarchy zinaharamisha mtoto wa kiume kuonesha emotions au kusema nimeshindwa au kusema nahitaji msaada, hence mtoto huyu wa kiume anakua na kuwa mwanaume kamili ambaye kuonesha hisia za udhaifu ni mwiko. Impact yake ni kuwa msongo wa mawazo na suicidal rate iko juu kwa wanaume kuliko wanawake. (japo hili pia lina sababu zingine)
Anyways kama mfumo huo unafaida zaidi kwenu then yes, kama sio basi hamna budi kutuunga mkono wazee wa usawa 😅
Labda jamii itaamka na kuanza kuangazia matatizo yanayoikabili jamii yenu ya kiume.
However, Zamaradi naye anahubiri maji wakati anakunywa beer, mtu anayetambua mapambano ya mtoto wa kiume na ugumu wake aliwezaje kumzulumu yule dogo haki zake, dogo alivyofight back na kumuexpose wakaanza kumtishia maisha yeye na mumewe. Unafiki ni tabia ya wajukuu wote wa Nyerere if you know what i mean.
Mkuu whether anatafuta mileage au la, does that make the reality of men's struggles less true?Kamjengee wewe hilo sanamu kwa heshima ya wanaume wote na umuoe .....
Hivi yule mmewe aliyemuwekaga kwenye bango kubwa bado wapo ?Anatafuta mileage tu huyo, baada ya kuona hasemwi mitandaoni ! Hivi unajia hawa wenye numbers mitandaoni wanaishi kwa ku Trend?
Hautaki kubembelezwa 🤣Mkuu, I’m not opposing your views, but I cringe every time nikisikia wanaume wanaomba kutetewa au ndo nishakua sugu 😂
Sanamu mjengee tu hapo kwenu, Zamaradi si ni yule kichaa anayejiita mfalme? Umeona wapi mwanamke mfalme? Huyo anaweza kumshauri labda mwehu tuZamaradi..
Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu.
Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume..
Kaelezea how majeraha yetu hayasikilizwi, how tunapaswa kushow up hata kama nafsi zetu zinaumia
View attachment 3616465
Katika jamii ambayo wanawake wamekua kama silaha ya kuchapa mwanaume mtafutaji Nam appreciate zamaradi kwa kutuheshimisha na kutupa moyo.
Wanawake wenye wisdom namna hii ni rare kuwapata na ni treasure kwa taifa
Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu watoto wa kiume wanapaswa wapambaniwe sana... Kuna watu kama kina anko T na wengine wengi mtaani
So zamaradi as always huwa akipost nasikiliza ni mwanamke aliyepevuka huta Kuta anaongelea sijui mme wangu Kani cheat, sijui wanaume ni Mbwa and all that..
Wanawake kuna la kujifunza kupitia huyu mwenzenu sio kila kukicha kutafta namna ya kuwaibia wanaume as how baba levo puts it
View attachment 3616469
Ni hayo tuu, weekend njema
Khaa inavofukua hayo makaburi si mchezoAlichokiongea kinapaswa kuzungumziwa sana, kuna usemi unasema Patriachy sio tu imewafelisha wanawake bali pia imewafelisha wanaume.
Wanaume mnaikumbatia patriarchy lakini in a bigger picture sijui kama mnafahamu mnachokikumbatia, Matarajio ya jamii juu ya uanaume wa kweli umekuja na gharama kubwa sana.
Conditioning’s na construct zilizowekwa na patriarchy zinaharamisha mtoto wa kiume kuonesha emotions au kusema nimeshindwa au kusema nahitaji msaada, hence mtoto huyu wa kiume anakua na kuwa mwanaume kamili ambaye kuonesha hisia za udhaifu ni mwiko. Impact yake ni kuwa msongo wa mawazo na suicidal rate iko juu kwa wanaume kuliko wanawake. (japo hili pia lina sababu zingine)
Anyways kama mfumo huo unafaida zaidi kwenu then yes, kama sio basi hamna budi kutuunga mkono wazee wa usawa [emoji28]
Labda jamii itaamka na kuanza kuangazia matatizo yanayoikabili jamii yenu ya kiume.
However, Zamaradi naye anahubiri maji wakati anakunywa beer, mtu anayetambua mapambano ya mtoto wa kiume na ugumu wake aliwezaje kumzulumu yule dogo haki zake, dogo alivyofight back na kumuexpose wakaanza kumtishia maisha yeye na mumewe. Unafiki ni tabia ya wajukuu wote wa Nyerere if you know what i mean.
Hautaki kubembelezwa 🤣
Mkuu kwa jinsi dunia ilivyo evolve, ni hitaji la msingi kutokuwa too hard kwa wanaume.
Kumbe hatuoni!!!!!Mnapaswa muone thamani kama zamaradi sio kuitikia tu ka mtoto wa primary