Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,538
Sio wote wanaoexpose huo mfumo wameoa. Hata mimi nikishauelewa mfumo kabla sijaoa. Hata hivyo kama amegundua makosa badala ya kuoa haimaanishi hapaswi kusema. Wewe mwenyewe unajua tabia ya wanawake kupretend kuwa wife material wanaposaka ndoa na kwenda kuonyesha makucha yao wakishaingia ndoani. Kwahiyo sio kweli wanaume wote waliokosea kuoa hawakufanya vetting. Kuna wengine waliigiziwa wakaingia kwenye mfumo. Wanawake ni waigizsji wazuri sana pale wanapotaka jambo laoNani alimpa ruhusa hiyo mwanaume ya kuingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakumfanyia vetting ya kutosha kujua kama ana responsibility au la?
Unajaribu kuwatetea hao wanaume kama mashujaa wanaofichua uozo wakati kiuhalisia wengi wao walioa kwa feelings na sasa hivi wanatafuta intellectual justification ya kuficha udhaifu wao wa uchaguzi.
Now days wanaume wana-expose mfumo ili kuficha ukweli kwamba walikosa uwezo wa kusimamia contract ya ndoa, huoni kama hiyo ni coping mechanism ya kiume?
Tatizo unani nukuuu vibaya, hakuna sehemu nimesema mwanamke kuwa mama wa nyumbani ni manyanyaso.Hilo suala halipo kama ambavyo unataka kuliweka. Ndio maana uko juu nikakwambia unapita kwenye tones zile zile za kifeminia. Kutengeneza picha mwanaume aonekane ni villain kwenye kila situation. Kwamba mwanamke asiposoma au asipojua na kipato mwanaume atamnyanyasa, na mwanamke akisoma hawezi kukubali kunyanyaswa yaani mwanamke asome au asisome tayari ushajenga picha villain ni mwanaume tu.
Mwanamke kuwa mama wa nyumbani sioni kama ni manyanyaso. Kumbuka hata mwanaume anaebeba jukumu la kuhudumia familia peke ake sio luxury hiyo, anaenyeka uko nje. Wapo wakinamama wa nyumbani wengi sana wanaishi maisha ya furaha zaidi ya hao wanajiita wapambanaji. Wewe chukua na mama wa nyumbani linganisha na hao feminist utaona nyuso za hawa mama wa nyumbani muda mwingi wanakua na furaha tofauti na mafeminist muda wote wamekasirika kasirika tu
Kama huyo mwanaume anajua wazi kuwa wanawake ni waigizaji kwanini aruhusu hiyo performance ya mwanamke imfanye aweze kuingia kwenye ndoa?Sio wote wanaoexpose huo mfumo wameoa. Hata mimi nikishauelewa mfumo kabla sijaoa. Hata hivyo kama amegundua makosa badala ya kuoa haimaanishi hapaswi kusema. Wewe mwenyewe unajua tabia ya wanawake kupretend kuwa wife material wanaposaka ndoa na kwenda kuonyesha makucha yao wakishaingia ndoani. Kwahiyo sio kweli wanaume wote waliokosea kuoa hawakufanya vetting. Kuna wengine waliigiziwa wakaingia kwenye mfumo. Wanawake ni waigizsji wazuri sana pale wanapotaka jambo lao
Kwahiyo nani atuonyeshe njiaHapa unalinganisha economic policy na social fabric, kwenye uchumi, ukikosea sera unaweza kubadilisha interest rate na uchumi ukawa sawa.
Kwenye jamii, ukivunja natural order ya familia, hauwezi kuirekebisha kwa mkakati mpya wa hao hao walioivunja maana mchakato wa kurejesha maadili ni cultural reformation.
Social experts walioingiza hii feminism hawawezi kuirekebisha kwa sababu foundation yao ni ile ile ya equality at all costs.
Hao social experts hawawezi kubadilisha kitu chochote.
Hapa nilijua utakuwa na suluhisho la namna ya kuweza kureveiw feminism yote kwa ujumla kama ulivyo dai.Kwahiyo suluhisho ni kuifanyia review feminism yote kwa ujumla
Sifahamu.Kwahiyo nani atuonyeshe njia
Mwanaume anaweza kutimiza wajibu wake na bado mwanamke akawa tatizo. Kuna sehemu uko juu nilisema mwanamke ana utashi binafsi. Anaweza kufanya maamuzi ya ovyo bila influence ya mwanaume. Wewe unapita kwenye tone ya kifeminia kwamba misunderstanding yoyote influncer ni mwanaume. Uko juu umesema mwanamke msomi hawezi kukubali manyanyaso. Nimekwambia sio wanawake wasomi wote wanavunja ndoa zao sababu ya manyanyaso.Tatizo unani nukuuu vibaya, hakuna sehemu nimesema mwanamke kuwa mama wa nyumbani ni manyanyaso.
Mwanamke kuwa na furaha kama mama wa nyumbani haitokei by default, huwa inatokea kwa sababu kuna mwanaume anayeweza kumpa security na provision bila kumsahau kama binadamu.
Mbona hutaki kuona kuwa baadhi ya hawa wanawake wanapambana kwa sababu hawaoni wanaume wenye uwezo wa kuwa provide kama unavyosema ni luxury? Kama mwanamume anashindwa kuwa provider wa kutosha, mwanamke hana chaguo jingine bali kutoka nje kupambana yeye kama yeye.
Hapo villain ni incompetence ya mwanaume kutekeleza wajibu wake. Mwanaume mwenye uwezo wa kutosha hatishwi na mwanamke kusoma, wala haogopi feminist kwa sababu mwanamke wake anakuwa na satisfaction ya kutosha tu nyumbani!
Nahisi bado haujanielewa, hoja zangu sizijengi juu ya mwanaume kuonekana villain.Mwanaume anaweza kutimiza wajibu wake na bado mwanamke akawa tatizo. Kuna sehemu uko juu nilisema mwanamke ana utashi binafsi. Anaweza kufanya maamuzi ya ovyo bila influence ya mwanaume. Wewe unapita kwenye tone ya kifeminia kwamba misunderstanding yoyote influncer ni mwanaume. Uko juu umesema mwanamke msomi hawezi kukubali manyanyaso. Nimekwambia sio wanawake wasomi wote wanavunja ndoa zao sababu ya manyanyaso.
Umefungamanisha suala la mwanamke kuwa mke wa nyumbani na kumtii mumewe kuwa ni manyanyaso. Nimekuambia wapo wanawake wanafirahia kuwa kwenye nafasi maana inawapa nafasi ya kuplay feminine nature yao.
Saiv umemuja na mpya mwanamke asipokua na furaha ni incompetence ya mwanaume katika kutimiza wajibu wake. Unaona hapo? Ushajenga picha kwenye kila situation mwanaume ni villain. Anapotoa hoja zako jaribu kutengeneza picha kwamba mwanamke sio malaika nae ana flaws zake
Sasa hapo mwenye kosa ni nani? Mwanaume alieigiziwa au mwanamke alieigiza? Kwa ulichokisema hapo victim ni mwanaume. Ni sawa kesi ya tapeli(mke) na mtapeliwa(mume), harafu useme mwenye kosa ni mtapeliwa kwa kushindwa kujua lengo la tapeli tangu mwanzo.Kama huyo mwanaume anajua wazi kuwa wanawake ni waigizaji kwanini aruhusu hiyo performance ya mwanamke imfanye aweze kuingia kwenye ndoa?
Mwanaume mwenye masculine intelligence huwa anajua kuwa wife material hapatikani kwa kutazama tu jinsi mwanamke anavyokutii unapokuwa naye.
Unaposema waliigiziwa maana yake unakiri kuwa wao hawakuwa na uwezo wa kugundua hiyo act si ndiyo?
Kama wote tunakubaliana kuna tatizo sehemu tayari hiyo ni hatua ya kwanza. Sio lazima majibu yote yapatikane immediately. Kwa mtazamo wangu nafikiri kwa sasa wazazi tuanze kwanza kuwajibika kwenye ngazi ya familia zetu wakati tukiwa tunapush mfumo mzima ufanyiwe reformsHapa nilijua utakuwa na suluhisho la namna ya kuweza kureveiw feminism yote kwa ujumla kama ulivyo dai.
Lakini sikujua kama na wewe unawategemea social experts ambao hawawezi kuwa na mchango wowote ule.
Sifahamu.
Mantiki ni ndogo sana hapa bado hauielewi, mfano wako wa tapeli na mtapeliwa, jibu langu ni rahisi tu.Sasa hapo mwenye kosa ni nani? Mwanaume alieigiziwa au mwanamke alieigiza? Kwa ulichokisema hapo victim ni mwanaume. Ni sawa kesi ya tapeli(mke) na mtapeliwa(mume), harafu useme mwenye kosa ni mtapeliwa kwa kushindwa kujua lengo la tapeli tangu mwanzo.
Embu twende na scenerio hiyo hiyo kwamba mtapeliwa ndie mwenye kosa. Mwanaume akijifanya mpole, mstaarabu na akamtreat mwanamke vizuri kipindi cha uchumba halafu baada ya kuingia ndoani akaanza kumnyanyasa. Je utabaki na msimamo wako ule ule kwamba kosa ni mwanamke kwa kushindwa kujua kama uyo mwanaume ni mnyanyasaji(tabia ambayo hakuionyesha kipindi cha uchumba).
Bila shaka utabadilisha narrative. Unaoa sasa feminism ilivyokuathiri. Kwenye kila situation unatengeneza narrative kwamba mwanamke ni victim na mwanaume ni villain
Katika zama ambazo mwanamke nae ana haki ya kufanya maamuzi yake binafsi bila kuwajibishwa na mfumo wa kijamii, ni lazima accountability iwe pande zote mbili. Ambapo mwanaume kakosea awajibishwe, ambapo mwanamke kakosea awajibishwe. Tukitaka kumbebesha mwanaume lawama zote bila kujali chanzo ni mwanamke. Basi ni sharti turudi kwenye mfumo dume ambapo neno la mwanaume lilikua sheria ndani ya nyumba. Kumpa mwanamke uhuru wa kufanya anachokitaka halafu kutaka asiwajibishwe kitakua ni kitu cha hovyo sana kukiruhusuNahisi bado haujanielewa, hoja zangu sizijengi juu ya mwanaume kuonekana villain.
Mimi namuona mwanaume ni accountable party, kwa nini? kwa sababu mwanaume ndiye mwenye mamlaka ya kuharibu au kujenga head of the house.
Ukisema mwanamke ni tatizo, mimi nitakwambia mwanamke mbaya ni external variable mwanaume anayemvumilia, anayemuoa, na anayempa nguvu ya ku influence himaya yake ndiye internal variable.
Unaposema mwanaume anaonewa, mimi naona kuwa mwanaume anapewa nguvu ya ku control hatima yake ukiondoa jukumu hili kwa mwanaume unakuwa unamfanya mwanaume kuwa victim asiye na nguvu, na hapo ndipo unapoifanya dhana ya kiume kuwa dhaifu.
Wazazi watawajibikaje wakati mfumo wa shule, media, na mitaa una-undo kile wazazi wanachojenga nyumbani?Kama wote tunakubaliana kuna tatizo sehemu tayari hiyo ni hatua ya kwanza. Sio lazima majibu yote yapatikane immediately. Kwa mtazamo wangu nafikiri kwa sasa wazazi tuanze kwanza kuwajibika kwenye ngazi ya familia zetu wakati tukiwa tunapush mfumo mzima ufanyiwe reforms
Kurudi kwenye mfumo dume wa kisheria hii ndoto.Katika zama ambazo mwanamke nae ana haki ya kufanya maamuzi yake binafsi bila kuwajibishwa na mfumo wa kijamii, ni lazima accountability iwe pande zote mbili. Ambapo mwanaume kakosea awajibishwe, ambapo mwanamke kakosea awajibishwe. Tukitaka kumbebesha mwanaume lawama zote bila kujali chanzo ni mwanamke. Basi ni sharti turudi kwenye mfumo dume ambapo neno la mwanaume lilikua sheria ndani ya nyumba. Kumpa mwanamke uhuru wa kufanya anachokitaka halafu kutaka asiwajibishwe kitakua ni kitu cha hovyo sana kukiruhusu
Round hii baada ya kuona unaelekea kukamatika ndio umemua kubalance mzani kwa kurusha lawama kwa wote. Lakini comments zako za nyuma hakuna sehemu ulipoonyesha kwamba mwanamke nae ana flaws zake zinaweza kusababisha talaka?Mantiki ni ndogo sana hapa bado hauielewi, mfano wako wa tapeli na mtapeliwa, jibu langu ni rahisi tu.
Tapeli ni mhalifu, na mtapeliwa ni mtu aliyekosa due diligence. Wote wana sehemu yao ya lawama..
Kama mwanamke anaigiza ili aingie kwenye ndoa, ni mhalifu wa kimaadili na kama mwanaume naye anawekeza maisha yake kwa mtu bila kujua history yake wala kumpima kwa kumuweka kwenye hali ngumu ya maisha ili ajue uhalisia wake, naye ni financially/emotionally illiterate.
Katika kisa cha mwanaume kuanza manyanyaso baada ya ndoa kama ulivyosema, msimamo wangu ni ule ule:
Huyo mwanamke naye ni victim wa kushindwa kwake kufanya vetting ya kiume, hapa hakuna villain mmoja, wote wawili wamefeli.
Mimi siwapi pass wanawake, na wala siwapi pass wanaume lakini ukweli unabaki kuwa Kwenye maisha, huwezi kuizuia dunia isikudhuru, lakini unaweza kujiandaa ili isikudhuru.
Kushindwa kujiandaa siyo villainy kama unavyo ona wewe , hiyo ni weakness.
Malezi ya mtoto ni jukumu la mzazi. Utafanyaje? Utajua mwenyeweWazazi watawajibikaje wakati mfumo wa shule, media, na mitaa una-undo kile wazazi wanachojenga nyumbani?
Unarudi kule kule kwenye kunitaka nifanye kazi ya wataalamu wa masuala ya ustawi wa jamii, kazi ambayo mimi na wewe tumekubakiana hatuna majibu sahihiUnaposema tupush mfumo ufanyiwe reforms, ni reforms zipi hizo ?unazungumzia mabadiliko ya sera za elimu, sheria za ndoa, au unazungumzia kuanzisha parallel cultural Institutions?
Kwa sababu kama tunapush reforms ndani ya mfumo huu huu uliotufikisha hapa, hatutapata matokeo mapya. Mkakati wako mahususi wa kushinikiza mabadiliko ni upi?
Dah umenifaya nicheke hapa.Round hii baada ya kuona unaelekea kukamatika ndio umemua kubalance mzani kwa kurusha lawama kwa wote. Lakini comments zako za nyuma hakuna sehemu ulipoonyesha kwamba mwanamke nae ana flaws zake zinaweza kusababisha talaka?
Sawa Mkuu, tuliache kama lilivyo tu hili suala.Malezi ya mtoto ni jukumu la mzazi. Utafanyaje? Utajua mwenyewe
Unarudi kule kule kwenye kunitaka nifanye kazi ya wataalamu wa masuala ya ustawi wa jamii, kazi ambayo mimi na wewe tumekubakiana hatuna majibu sahihi
Sijaupigia debe mfumo dume. Mimi najiamini kwamba naweza ku-thrive kwenye mfumo dume au usawa wa kijinsia. Nikichotaka kuonyesha ni kwa namna gani hatuwezi kuwa na stable society kama tukitaka vipengere fulani tutumie script za mfumo dume na vipengere fulani tutumie script za usawa wa kijinsia. Kama tumeamua kwenda na patriarchy au gender equality basi twende na idiology yote kwa ujumla kwenye kila aspectKurudi kwenye mfumo dume wa kisheria hii ndoto.
Kurudisha heshima ya kiume kupitia personal excellence ndiyo reality.
Unapoupigia debe mfumo dume hapa unakuwa unakimbia jukumu la kuwa mwanaume anayejiamini kiasi cha kutohitaji sheria za kijamii ili uheshimiwe.
Mkuu kumbuka patriarchy na gender equality siyo scripts tu ni matokeo ya jinsi binadamu anavyofanya kazi kulingana na asili yake.Sijaupigia debe mfumo dume. Mimi najiamini kwamba naweza ku-thrive kwenye mfumo dume au usawa wa kijinsia. Nikichotaka kuonyesha ni kwa namna gani hatuwezi kuwa na stable society kama tukitaka vipengere fulani tutumie script za mfumo dume na vipengere fulani tutumie script za usawa wa kijinsia. Kama tumeamua kwenda na patriarchy au gender equality basi twende na idiology yote kwa ujumla kwenye kila aspect