EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,278
- 20,896
huyu katoroka stiglazi goji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] churaa inabidii atafutiwee jinaa jingineeemuwe siriazi mnapoongelea habari za chura, tumeacha kazi zetu mjue tuje kutizama chura kumbe chura chura
Yeye anatambaa tu wala haruki.
Nimepita sehemu nikamuona View attachment 1019031View attachment 1019033
Sent using Jamii Forums mobile app
Majani mwitu tu hayo, ubungo yapo mengi. Kwenye mapagale utayakuta na yenyewe yameotaNimeshawaona mara kadhaa, ila kuna hili ua nimeliona huku kigamboni, liko moja tu kigamboni nzima, linaitwaje?View attachment 1019138
Mbona mengi tu mikoani huku?Nimeshawaona mara kadhaa, ila kuna hili ua nimeliona huku kigamboni, liko moja tu kigamboni nzima, linaitwaje?View attachment 1019138
Kimbofa huyo [emoji3][emoji3][emoji3]