Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Yapo mengi tuuu huzalisha tunda lenye upepo ndani yapo kibao kigamboniNimeshawaona mara kadhaa, ila kuna hili ua nimeliona huku kigamboni, liko moja tu kigamboni nzima, linaitwaje?View attachment 1019138
Huyo chura sio wa kawaida ni chura mwenye sumu sana. na sumu hiyo inakaa kwenye ngozi. mtoto akimchezea akalamba mikono ni hatari sana. maana sumu hiyo ukimpa maziwa ndio unaikoleza sawasawa . ni vyema kuwaelimisha watoto wasiwachezee na wakae nao mbali kabisa. wapo wenye mistari ya njano na wengi wanavutia sanaHuyo chura wa kawaida tu huwa anaishi sehemu yenye majimaji hasa kwenye mabonde ndiyo maeneo anayopatikana.
Nilimkuta ndani mida ya saa nane usiku,nilimpiga Sana kwa ufagio,tulibishana Sana nikawa namrekodi na picha,Chura.. huyu ukimgusa anavimba na kusimamia kucha.. ni hatari sana.. ana hasira sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anatambaa tu wala haruki.
Nimepita sehemu nikamuona View attachment 1019031View attachment 1019033
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura wapo aina nyingi,huyo utamkuta migombani uchagani au uhayani,kuna vyura wapanda miti n.k,vyura wapo wa ukubwa tofauti na rangi tofautitofautiYeye anatambaa tu wala haruki.
Nimepita sehemu nikamuona View attachment 1019031View attachment 1019033
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mliowachezea sisi tumevulia sana samaki Kama chambo.tuliwaita ngele.Waliovuavua mto Rau na mazingira ya moshi wanaelewa.lakini sio huyo.