mokii
Senior Member
- Aug 12, 2017
- 160
- 164
Ana tabasamu zuri
Hahaha moyo wako umemdondokea tayari mkuu! vipi upo tayari kuslim uwe mke wa nne?
Ana tabasamu zuri
Salute mkuu Kinyungu! It is just too fast for Saudi Arabia! Pia nina wasiwasi kama lengo lake ni mageuzi. Nafikiri anataka kuwa mrithi bila "mpinzani".Huyu dogo asipofanikiwa ndiyo itakiwa mwisho wa Saudia kama tunavyoijua. Kwa nchi conservative namna ile na mabadiliko anayoyataka kuna uwezekano akawakoroga zaidi waSaudia kuliko kuwasaidia
Hahaha moyo wako umemdondokea tayari mkuu! vipi upo tayari kuslim uwe mke wa nne?
Mi nasifia uumbaji wa mwenyezi Mungu tu. Hayo mengine ni yako. Mungu alijua kukaa na kutengeneza watu na wengine alitengeneza akiwa kachoka
Anaiga kwa Dkt MagufuliAna miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi.
Mohammed bib Salman ni jasiri siyo muoga na aangalii sura. Ana elimi nzuri. Ametawazwa kuwa mrithi wa baba yake aking Salman.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanadai jamaa anataka kuleta mageuzi makubwa kwenye Kingdom na kufanya Saudia ifanane na Dubai.
Nimeeanza kumfuatilia kwa karibu Sana huyu dogo
Elungata Pohamba
Hapana, wewe muongo. Muache dogo ashughulikie wala rushwa. Ndiyo hayo hayo tunasumbuka nayo africa. Eti mla rushwa akiguswa mnaanza kusema eti demokrasia inamwinywa.Hapo Mkuu hakuna masuala ya mageuzi ya uchumi hapo kuna Power Struggle katika familia ya Bin Saudh. Kwa taratibu huyu dogo hakutakiwa kumrithi baba yake mrithi wa ufalme alikuwa Crown prince Muhammad bin Nayef na kwa karibu karne moja ya utawala huu utaratibu wa kurithiana madaraka ulikuwa unafanyika bila mgogoro wowote. King Salman ambaye kwasasa ndio mfalme wa Saudi Arabia amekiuka utaratibu huo kwa kumteua mtoto wake awe mrithi wake. Ukoo wa kifalme wa Saudh Arabia kwa idadi wanafikia elfu kumi na tano na wengi wamechukizwa na hatua ya King Salman kukiuka taratibu hizo.
Huyu dogo ana dalili zote za kuwa Dictator kwani akiwa Waziri wa Ulinzi ameliingiza taifa hilo kwenye vita dhidi ya Yemen ambapo maelfu ya raia wa Yemen wameuawa katika vita hivyo. Amejaribu kuitisha na kuvamia taifa la Qatar lakini ameshindwa.
Hatua aliyofikia kwasasa ya kukamata wana wafalme wanaompinga ndio imekuwa mbaya zaidi kwani kwa muda wa masaa 48 wana wafalme wawili wameuawa mmoja kwa ajali ya ndege ya helicopter na mwingine aliyekuwa mtoto wa King Fahd alipigwa risasi na kuuwawa baada ya kukataa kutiwa nguvuni.
Kwa kifupi tutarajie nchi ya Saudh Arabia kuwa Syria ama Iraq nyingine.
Huyo sio baba yake ni baba yake mdogo aliyekuwa mrithi wa ufalmeakiwa na baba yake.
![]()
Hapo sawa.Huyo sio baba yake ni baba yake mdogo aliyekuwa mrithi wa ufalme
Ina maana hio nchi haina gereza mpaka walazwe hotelin ama!?...View attachment 625896dogoo Hana mchezo. Hapo kwa wasweka ndani waliokuwa Na nguvu Saudi Na kuwalaza kwenye vigodoro vyembamba ndani ya five star luxury hotel Gama
Hiyo ya watoto wa shule uliwekajeMsaada wana janvi, namna ya kuweka avatar
Nataka avatar inayotafsiri user name yanguHiyo ya watoto wa shule uliwekaje