dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,332
- 57,900
Shukrani Mkuu umefafanua vizuri sana. Hata mimi nilkuwa najiuliza Mfalme mwenye 80+ hana wakubwa zake na huyu dogo hadi dogo atwae kiti? Mfalme naye alipaswa japo ku-maintain utaratibu waliorithi kwa baba yao kwamba kila mwanae wa kiume arithi badala ya kubagua. Hii ingeleta heshima.Ugomvi mkubwa ni kwamba huyu ni mtoto wa mke wa tatu wa mfalme Salman aitwae Fahda.
Ana ndugu zake watano wanaomfuata kwa kuzaliwa.
Kama ujuavyo mtoto wa mke wa tau yupo mbali sana na kiti cha ufalme.