GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,242
Ok, lakini ndugu ili tusiojua tujifunze, unapopinga kitu rekebisha basi, mfano huyo sio baba yake, huyo ni fulani, baba yake ni huyu.Huyo sio baba yake
Ok, lakini ndugu ili tusiojua tujifunze, unapopinga kitu rekebisha basi, mfano huyo sio baba yake, huyo ni fulani, baba yake ni huyu.Huyo sio baba yake
Imeshafafanuliwa katika post zingine, fuatilia utaonaOk, lakini ndugu ili tusiojua tujifunze, unapopinga kitu rekebisha basi, mfano huyo sio baba yake, huyo ni fulani, baba yake ni huyu.
The lanistas vs staksThe game of thrones in real life
Hawa wavaa vilemba sio wa kuwaamini
Nadhani utaratibu wao ni tofauti kidogo. Iko hivi, Mzee Abdulaziz al Saud alikamata nchi hapo 1932 na kujitawaza mfalme; by the time anafariki aliacha watoto kadhaa. Kama sijakosea, wasia ilikuwa kwamba watoto wa kiume (of course watakaokuwa hai) ni lazima warithi kiti kwa utaratibu wa mkubwa kwanza; akiondoka anamwachia, sio mwanawe kama ilivyozoeleka bali, anayefuata kiumri hivyo hivyo hadi wote watakuokuwa hai warithi kiti. Huyu wa sasa, Mfalme Salman ndiye mtoto wa mwisho kabisa wa kiume wa mwassisi aliye hai; angelikuwa na mdogo wake wa kiume angerithi ila kwa kuwa ndiye wa mwisho, naona "wimbi" limegonga pale pale. Kwa ufupi kujibu swali lako la msingi ndio hivyo.Sasa ilikuwaje mwanzo Crown akatoka nje ya lineage ya baba yake?
Hawa jamaa sio waarabu,hili linawasaidia kujitambua. Wahindi hawa.Mkuu wa majeshi wa pakstan na wa iran wakikutana jana na kuweka msimamo kwamba kamwe ardhi za nchi zao mbili haziwezi kutumiwa na nchi ya tatu kuwapiganisha,
hili ni ndongo kwa saud arabia inayopenda kupinisha vita vyake kwa kukodi majeshi ya nchi mbalimbali.
![]()
Mkuu Bowie nashukuru kwa maelezo Na ufafanuzi wenye weledi nimejifunza zaid. Issue ya power struggle Ni mbaya sana inaleta chuki Na hata mauaji. Rejea Josef Stallin Na Leon Trosky Bolsheviks
Makafir ni kina nani je wewe unaishi na kina nan?Dubai makafir wanaruhusiwa. Sijui kama ataliweza hilo katika ardhi ya Mtume.
huyo wa pembeni yake ni mohamed Nayef ndo alikuwa crown prince wakati huyo mohamed salman akiwa Deputy crown prince.Ok, lakini ndugu ili tusiojua tujifunze, unapopinga kitu rekebisha basi, mfano huyo sio baba yake, huyo ni fulani, baba yake ni huyu.
Afadhali umempa elimu.Ardhi ya mtume ambapo Marekani wameikamata kabisa.
Ukoo wa kifalme wa Saudia yani uko tayari hata kukabidhi nchi kwa USA ( Makafir according to you).
Tofauti ya Saudia na Dubai ni kwamba dubai wanaruhusiwa hadharani wakati Saudia kuna wanaoruhusiwa nyuma ya mlango kama Wamarekani.
Umesikia juzi kawauzia Silaha wazidi kuua Waislam wenzao wa Yemen..
haijatoka,sasa ni zamu ya wajukuu,sema mfalme amekiuka hajafata senioritySasa ilikuwaje mwanzo Crown akatoka nje ya lineage ya baba yake?