Huyu bwana mdogo Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia hatari

Wamemdhulumu ufalme wa mohamed Nayef,
na sasa anakamata watu wanaoweza kumpinga na kuwaweka hotel ya kifahari,
kosa alilofanya ni kuanza kuichokonoa iran,

na sasa anataka kumlipa israel pesa ili apigane na iran kwa niaba yake,
so vita ni suala la mda tu,tena si mda mrefu,patachafuka area hizo
 
Binadamu bila kujali rangi, taifa au kabila akishakabidhiwa madaraka nidhamu na busara hutoweka na kubaki na kiburi na ubabe vitu ambavyo kamwe havijengi jamii wala taifa, matokeo yake unazalisha maadui wapya wasasa na baadae.
 
Ardhi ya mtume ambapo Marekani wameikamata kabisa.
Ukoo wa kifalme wa Saudia yani uko tayari hata kukabidhi nchi kwa USA ( Makafir according to you).
Tofauti ya Saudia na Dubai ni kwamba dubai wanaruhusiwa hadharani wakati Saudia kuna wanaoruhusiwa nyuma ya mlango kama Wamarekani.
Umesikia juzi kawauzia Silaha wazidi kuua Waislam wenzao wa Yemen..
saud arabia iliwaondoa wamarekani nchini mwake,na kambi yao wakahamishia Qatar,
marekani waliopo saudi ni wale wana operate air defence,

marekani yeye anauza silaha,
saudi ndo wana ajenda zao pale,na kinyumenyume marekani nae ana double ajenda,
ujue uchumi wa marekani unashikiliwa na petroldollar,na saud ndo ana ushawishi mkubwa kwa nchi zinazozalisha mafuta ili wayauze kwa dollar,
so bado uhusiano wa marekan na saud ni very special,
hofu ya saudi ni iran
hofu ya israel ni iran

sasa hawa wawili wameungana,yaani saudi atotoa financial na logistical support kumwezesha israel kushambulia iran,
baada ya marekani kuonekana anajivuta vuta kuisaidia israel
 
Marekani masrahi mbele
 
Marekani masrahi mbele hata issue ya Qatar wakati inatengwa yeye alikuwa ana trade deal na qatar akawa anaendelea nalo.
 
Sasa hii crackdown ya corruption kule Saudia tayari imesababisha bei ya mafuta soko la dunia kupanda. Je tumsifu au tumlaani?
 
na kuanzia mwakani wanawake wataanza kuendesha magari saudi arabia. hakika huyu ni mwanamageuzi
 
Huyu kulia ndio Mohd Bin Seleiman huyu kushoto sio baba yake ni Mohd Bin Naif ni binamu yake ambaye alikuwa crown prince na waziri wa mambo ya ndani wakamtoa kapewa yeye na baba yake ambaye ni mzee mwenyewe anaitwa Seleiman.
ni salman si seleiman
 
Mkuu wa majeshi wa pakstan na wa iran wakikutana jana na kuweka msimamo kwamba kamwe ardhi za nchi zao mbili haziwezi kutumiwa na nchi ya tatu kuwapiganisha,
hili ni ndongo kwa saud arabia inayopenda kupinisha vita vyake kwa kukodi majeshi ya nchi mbalimbali.

DN92rDCW4AAvK6N.jpg:small
 
Yani hapa ndio napowapendea wa Pakistan katika hili hakika wameshinda, Pakistan ndio sababu ya marekani kushindwa vita na talibani maana alikataa kuwa kibaraka wa us akishikiria msimamo wake wa kutokubali kupiganishwa akawa anawapa msaada wa kiintelejensia taliban pia us ikawatuhumu kuwa wanamficha mullar omar...
 
Ardhi ya mtume ambapo Marekani wameikamata kabisa.
Ukoo wa kifalme wa Saudia yani uko tayari hata kukabidhi nchi kwa USA ( Makafir according to you).
Tofauti ya Saudia na Dubai ni kwamba dubai wanaruhusiwa hadharani wakati Saudia kuna wanaoruhusiwa nyuma ya mlango kama Wamarekani.
Umesikia juzi kawauzia Silaha wazidi kuua Waislam wenzao wa Yemen..
Kura ri like ra nguvu muraaaa!!!!
 
Sorry ,picha ya mwisho ni kombora la korea,nimejimix na nashindwa kufuta,
sorry kwa usumbufu utakaotokea
 
@carbondioxide,nilijimix kwenye clipboard nikadhani ndo picha yenyewe,kumbe niliyoikusudia wakati naisev clipord iligoma maana ina copyright,
yaani hadi aibu,kila nikidelete haideletiki
 
Back
Top Bottom