Huyu bwana mdogo Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia hatari

Huyu bwana mdogo Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia hatari

kuna kipindi mme wa kim kardashian alifirisika madeni kibao,mpaka akawa anatangaza mitandaoni,
huyu jamaa akamwambia,kama vipi naona usiku mmoja tu na mkeo kim kardashian ntalipa dola milioni 10,
karibi bilion 25 za kibongo kama sikosei,
wazungu waliandamana kwamba kawadhalilisha,
uhongoji gani huo,
haikujulikana kama mmewe kim aliridhia,

lakini hali yake ya kiuchumi iliimarika tena sasa sijui kama alimpandisha ndege wife kwa siri kwenda kwa huyu prince
 
mohammed_bin_salman_3_149.jpg
 
Anajulikana kama MBS. Next week baba yake anampisha kiti cha ufalme. Vita na Iran iko mbioni.
Sijaelewa. Anampandisha kiti cha ufalme; baba yeye ana-abdicate? Itakuwa maajabu maana huwa wanapenda kufia kwenye viti.
 
Sijaelewa. Anampandisha kiti cha ufalme; baba yeye ana-abdicate? Itakuwa maajabu maana huwa wanapenda kufia kwenye viti.

Haabdicate directly. Anabaki kuwa "Royal protector of holy places" na ceremonial monarch. Ikumbukwe kuwa mfumo wa kifalme Saudia ni tafauti na falme zingine kwa kuwa King ni absolute head of state and government tofauti na UK ambako wana executive PM chini ya monarch.
 
Asipoangalia huyo kichaa atampindua jumla; labda kama vyombo vya mabavu vitaendelea kuripoti kwake (baba) else huyo dogo anaonekana kuwa na uchu uliopitiliza wa madaraka; ataona kizee kinamchelewesha kufikia malengo yake.
 
Waarabu sio watu kabisa hao jamaa roho mbaya sana mnoo
 
Kwa ss iran amemshika pabaya sana familia yakifalme,unajua huyu muiran alipofanya yale mapinduz hakufanya kosa akaanza kuifanya iran kua nchi ya tecnolojia wakaanza kuwa naviwanda vya kutengeneza kila kitupaka silaha za kisasa kabisa wakaijenga vizur anga yao mareka na muzrael wakazibitiwa angan na majin na ardhin halafu akaendelea kujijenga kisawasawa.

Kila marekan naizraeliwalipotaka kumzuia wakakuta kawawahi kwenye kila mipaka.hawa wasaudia wao nimamwinyi wananunua silaha wala hawajishuhulishi na tecnolojia wanakuja kushtuka muiran ndo kashika hatam amejitanua vyakutisha hajakaa sawa amewadhamin wahausi huko yemen wamewapiga vyakutosha wamewashindwa huko sirya nako wamewadhamin is wampindue asad muiran akazuia sasa wamarekan na waizrael wanahaha namna yakumzuia huyu muiran huko lebanon hizbullah nao nimwiba wamejaribu kumtoa hariri kimtindo wamegonga mwamba.mambo nimagum sana kwaupande wao.
 
Hivi ni muirani au mrusi ndiye aliye nyuma ya Assad? Nilisikia ni mrusi, kumbe na Muirani naye ni Super power.
 
Kiongozi kuna kitu unapaswa kukielewa hawa wazungu wao kwa wao hawaelewan.mfano,,mrusi anatokea mashariki mwaulaya yy anagombana na wazungu wamagharibi mwaulaya ambao baba yao ni mmarekan hawa wanaugomvi wa karne na karne,sasa maslai yao yapo mashariki yakat kinachofanyika hizi pande mbili tofaut ndo zinafanya kila juhud ili ziwe na ushawishi mashariki yakati.

Sasa twende pamoja tuelewane.magharibi pamoja namarekan wao wanataka kiongozi wa mashariki yakati awe saudia kwasababu saudia hana madhara nikibaraka wao kupitia utawala wa al saud.na mrusi yy anamuunga mkoni muiran yy awe kiongozi wa mashariki yakati.hizi pande zinaungamkono pande zake kwa silaha nakila aina ya ushauri ndomana warusi waliingia sirya na hizbullah nairan kumsaidia asad na mmarekan akaingia siriya kumsaidia saudia ili kuiangusha serikali ya asad wakawaweka is namakundi kama anusra front,jeish al harar alsham namengine mengi.vita vikapiganwa mshindi kwa sasa niupande wa iran na mrus maana wamewafurusha upande wa marekan na saudia. Narud kiongozi uliza chochote
 
Nadhani utaratibu wao ni tofauti kidogo. Iko hivi, Mzee Abdulaziz al Saud alikamata nchi hapo 1932 na kujitawaza mfalme; by the time anafariki aliacha watoto kadhaa. Kama sijakosea, wasia ilikuwa kwamba watoto wa kiume (of course watakaokuwa hai) ni lazima warithi kiti kwa utaratibu wa mkubwa kwanza; akiondoka anamwachia, sio mwanawe kama ilivyozoeleka bali, anayefuata kiumri hivyo hivyo hadi wote watakuokuwa hai warithi kiti. Huyu wa sasa, Mfalme Salman ndiye mtoto wa mwisho kabisa wa kiume wa mwassisi aliye hai; angelikuwa na mdogo wake wa kiume angerithi ila kwa kuwa ndiye wa mwisho, naona "wimbi" limegonga pale pale. Kwa ufupi kujibu swali lako la msingi ndio hivyo.

Ugomvi mkubwa ni kwamba huyu ni mtoto wa mke wa tatu wa mfalme Salman aitwae Fahda.

Ana ndugu zake watano wanaomfuata kwa kuzaliwa.

Kama ujuavyo mtoto wa mke wa tatu yupo mbali sana na kiti cha ufalme.
 
Hapo Mkuu hakuna masuala ya mageuzi ya uchumi hapo kuna Power Struggle katika familia ya Bin Saudh. Kwa taratibu huyu dogo hakutakiwa kumrithi baba yake mrithi wa ufalme alikuwa Crown prince Muhammad bin Nayef na kwa karibu karne moja ya utawala huu utaratibu wa kurithiana madaraka ulikuwa unafanyika bila mgogoro wowote. King Salman ambaye kwasasa ndio mfalme wa Saudi Arabia amekiuka utaratibu huo kwa kumteua mtoto wake awe mrithi wake. Ukoo wa kifalme wa Saudh Arabia kwa idadi wanafikia elfu kumi na tano na wengi wamechukizwa na hatua ya King Salman kukiuka taratibu hizo.
Huyu dogo ana dalili zote za kuwa Dictator kwani akiwa Waziri wa Ulinzi ameliingiza taifa hilo kwenye vita dhidi ya Yemen ambapo maelfu ya raia wa Yemen wameuawa katika vita hivyo. Amejaribu kuitisha na kuvamia taifa la Qatar lakini ameshindwa.
Hatua aliyofikia kwasasa ya kukamata wana wafalme wanaompinga ndio imekuwa mbaya zaidi kwani kwa muda wa masaa 48 wana wafalme wawili wameuawa mmoja kwa ajali ya ndege ya helicopter na mwingine aliyekuwa mtoto wa King Fahd alipigwa risasi na kuuwawa baada ya kukataa kutiwa nguvuni.
Kwa kifupi tutarajie nchi ya Saudh Arabia kuwa Syria ama Iraq nyingine.

Hapo nimepata mwanga.
Ahsante sana
 
Waarabu sio watu kabisa hao jamaa roho mbaya sana mnoo
Hawa jamaa Mwenyezi Mungu anawapa adhabu kwa unyama waliofanyia mataifa mengi duniani. Hawa kutumia pesa zao walimwondoa madarakani Rais wa Misri Morsi kwa kufadhili jeshi la nchi hiyo ambapo zaidi ya raia elfu tano waliuwawa, hawa jamaa ndio waliofadhili na kuanzisha Islam State na kuvamia Syria na kuua zaidi ya watu milioni moja. Laana ya Mungu imewapata sasa wanamaliza wao kwa wao. Fedha zote walizopata hawatumii kwa misaada za kibanadamu bali kununua silaha. Let them go to hell.
 
Back
Top Bottom