Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,672
[/![]()
signature yako inafikirisha sana
[/![]()
signature yako inafikirisha sana
...
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanadai jamaa anataka kuleta mageuzi makubwa kwenye Kingdom na kufanya Saudia ifanane na Dubai.
Ardhi ya mtume ambapo Marekani wameikamata kabisa.Dubai makafir wanaruhusiwa. Sijui kama ataliweza hilo katika ardhi ya Mtume.
Maelezo ya kina na yaliyoshiba. Ila hawkawii kusema ni makafir wa kimagharib wanachochea tena vita yenyewe imetokea kule jikoni hasa kwenye kiini cha dini. Kazi ipo.Hapo Mkuu hakuna masuala ya mageuzi ya uchumi hapo kuna Power Struggle katika familia ya Bin Saudh. Kwa taratibu huyu dogo hakutakiwa kumrithi baba yake mrithi wa ufalme alikuwa Crown prince Muhammad bin Nayef na kwa karibu karne moja ya utawala huu utaratibu wa kurithiana madaraka ulikuwa unafanyika bila mgogoro wowote. King Salman ambaye kwasasa ndio mfalme wa Saudi Arabia amekiuka utaratibu huo kwa kumteua mtoto wake awe mrithi wake. Ukoo wa kifalme wa Saudh Arabia kwa idadi wanafikia elfu kumi na tano na wengi wamechukizwa na hatua ya King Salman kukiuka taratibu hizo.
Huyu dogo ana dalili zote za kuwa Dictator kwani akiwa Waziri wa Ulinzi ameliingiza taifa hilo kwenye vita dhidi ya Yemen ambapo maelfu ya raia wa Yemen wameuawa katika vita hivyo. Amejaribu kuitisha na kuvamia taifa la Qatar lakini ameshindwa.
Hatua aliyofikia kwasasa ya kukamata wana wafalme wanaompinga ndio imekuwa mbaya zaidi kwani kwa muda wa masaa 48 wana wafalme wawili wameuawa mmoja kwa ajali ya ndege ya helicopter na mwingine aliyekuwa mtoto wa King Fahd alipigwa risasi na kuuwawa baada ya kukataa kutiwa nguvuni.
Kwa kifupi tutarajie nchi ya Saudh Arabia kuwa Syria ama Iraq nyingine.
Ila ufalme unaoelekea kufitinika; hauwezi kudumu. Ukianza "kuwala" wa nyumbani mwako biashara imekwisha.Nguvu za kifalme hizo
Allah atamjaliaAna miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi.
Mohammed bib Salman ni jasiri siyo muoga na aangalii sura. Ana elimi nzuri. Ametawazwa kuwa mrithi wa baba yake aking Salman.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanadai jamaa anataka kuleta mageuzi makubwa kwenye Kingdom na kufanya Saudia ifanane na Dubai.
Nimeeanza kumfuatilia kwa karibu Sana huyu dogo
Elungata Pohamba
Lililo moyoni mwako ni kubwa zaidHawa wavaa vilemba sio wa kuwaamini
Ile kingdom ingeendelea ilivyo lazima wangeangukia pua. Radical Salafin islam which the kingdom has been promoting, is the source of all extremismAna miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi.
Mohammed bib Salman ni jasiri siyo muoga na aangalii sura. Ana elimi nzuri. Ametawazwa kuwa mrithi wa baba yake aking Salman.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanadai jamaa anataka kuleta mageuzi makubwa kwenye Kingdom na kufanya Saudia ifanane na Dubai.
Nimeeanza kumfuatilia kwa karibu Sana huyu dogo
Elungata Pohamba
Huyo wa kulia sio baba yake n Mohammed bin Nayef......ndo alkuwa crown prince bfor hajamfanyia figisu figisuakiwa na baba yake.
![]()
Ahsante mkuu lakini mbona kama sura yake na umri haviendani!
Ahsante mkuu lakini mbona kama sura yake na umri haviendani!
Na baba yake haitwi suleiman, anaitwa SalmanHuyu kulia ndio Mohd Bin Seleiman huyu kushoto sio baba yake ni Mohd Bin Naif ni binamu yake ambaye alikuwa crown prince na waziri wa mambo ya ndani wakamtoa kapewa yeye na baba yake ambaye ni mzee mwenyewe anaitwa Seleiman.
Ni kweli Salman ila nilitaka tu kufikisha ujumbe maana hata sisi huku tunaita Salimu lakini wao Salim yote same tu.Na baba yake haitwi suleiman, anaitwa Salman