Huyu binti ni Genious

Huyu binti ni Genious

Kama Taifa tukubali kuna mahali tumekosea. Na hivyo tunastahili kujisahihisha.
Haya yote maigizo tiktok kule watoto laana tupu. Tumekosea pakubwa hizi social medias afrika content nyingi za kifala na ndizo zina trend bora wenzetu washaendelea sisi tumeishia hapa
 
Huwa nasema hapa, tuboreshe masomo ya Hesabu na sayansi watu hawaelewi
Hebu anayetaka kufanya utafiti; Aombe kukataa bweni wiki moja kwenye shule inayofundisha PCM & PCB
halafu aombe tena wiki moja kukaa bweni kwaa shule inayofundisha HKL, HGK, nk nk
akija hapa atagundua kuwa, wanafunzi wanaosoma huko wana personalities mbili tofauti kabisa...
 
Back
Top Bottom