Huyu binti kanikera naomba ushauri

Huyu binti kanikera naomba ushauri

Narudia tena asanteni kwa ushauri wenu na hakika nimemwacha huyu binti kwani hapa nimeonda dalili zote za kuja kupata ukimwi na kugombana na mke wangu
 
Billie unatumia kinywaji gani?

juice ya kutengeneza nyumbani kama ikikosekana leta hata zile za azam i mean tropical juice. Bora unipoze na hiko kinywaji maana mi ni muhanga wa mazee majinga kama haya nilimpoteza mpz wangu kisa zee moja lilikuwa linamfuata na RAV4 chuoni na kumpeleka hosteli nimechukia sana kuona huu uzi aiseee.
 
Last edited by a moderator:
juice ya kutengeneza nyumbani kama ikikosekana leta hata zile za azam i mean tropical juice. Bora unipoze na hiko kinywaji maana mi ni muhanga wa mazee majinga kama haya nilimpoteza mpz wangu kisa zee moja lilikuwa linamfuata na RAV4 chuoni na kumpeleka hosteli nimechukia sana kuona huu uzi aiseee.

kinywaji murua kabisa hicho.. karibu home jioni ipo. Pole kwa yaliyokusibu lol...
 
Narudia tena asanteni kwa ushauri wenu na hakika nimemwacha huyu binti kwani hapa nimeonda dalili zote za kuja kupata ukimwi na kugombana na mke wangu
Ooh oooo huwa haviachwagi hivi vibint vinaitwa vipoozeo
Mara mojamoja ukizidiwa unaenda punguza salio hapo hata kwa mpira
Najua humu JF watu wakali kwelikweli lakini uwaambie kuna leo kutembelea Mbuga za Wanayama Serengeti bure kabisa ila wawe single utaona watakavyofurahia NEW TASTE halafu wafuatilie nyumanyuma lazima macho ya kutamaniana yatakuwepo giza likiingia ndo..... basi tena.
Mimi sikushauri umuache (Hawara huwa hawaachani) pumzika mwaka huu 2013 mwaka ujao ukimkuta mzima ww endelea mradi usimuache mkeo
 
Jamani hili zee lina laana ati kwanza ni jizi kwa mkewe arafu linatuomba msaada kwa ushenzi linaofanya.Kwa kweli limenitibua sana haya ndo yanatusumbua sisi vijana kwa kutupa UKIMWI.we mzee unajiita kijana kwa kweli unastahili lawama na mitusi sio ushauri kama unavyodai kwenye thread yako.Shenzi mkubwa yaani ningekuwa karibu yako ningekupa na konzi la conclusion aiseeee.KWELI TZ BILA UKIMWI HAIWEZEKANI KABISA.

vijana na watoto wengi wamekuwa wakiomba ushauri wao na wamekuwa wakijibiwa vibaya na kutukanwa warudi shule. Sasa wakati wao wanahitaji ushauri wamekuja na mbinu mpya ya kujisema wanaumri wa miaka 40 au 35, sasa wamejisahau maswali wanayouliza bado ya kianafunzi na si ya kiutu uzima ya mtu na mke wake na watoto wawili.
 
Iv ata uon aibu kuomba ushaur ju ya hil, we unafkir 2takupa ushauri gan sasa kati uyo bnt c mke wako, cha muhimu we ka2nze familia yako na mwache bnt, na alvyokwambia kuwa anatafuta wa kumwoa n kwel coz we huwez kumwoa, kingne kwa imani yako mwombe MUNGU akusamehe pia iombe na familia yako msamaha
 
Ile hekima ya kiafrika imepotelea wapi? Hili nalo jambo la kuomba ushauri? Utajisikiaje kama mkeo nae anawanaume watatu nje? Mungu akurehemu
 
Narudia tena asanteni kwa ushauri wenu na hakika nimemwacha huyu binti kwani hapa nimeonda dalili zote za kuja kupata ukimwi na kugombana na mke wangu

Ha ha! Umepima kwanza kama upo salama? Hivi watu huwa wanaacha tuu so simply enh? There are more costs you must pay! Definitely!
 
Dah!Itafikia wakati mwizi atafungua kesi kudai mali ya wizi aliyodhulumiwa na jambazi mwenzie.
'
Hapa ndipo tulipo.
'
Hatuoni haya wala soni.
'
Shame on us!

Aiseee hii sijawahi kuisikia.
 
Fataki wewe,,, ukipata ngoma na watoto huko ndo kiherehere kitakuisha... I wish mkeo ajue uyafanyayo. Ptuuuhh
 
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.

Aiseee Kamekukomesha....Ni kakomandooo hako kazoefu kazi za namna hiyo..itakuwa wewe unakapa hela.....he hehe nimependa kamdada kalivyo determined....na maisha.
 
Nafikiri umekipata ulichokuwa unakitafuta jamii forum, tulizana miaka 40 sio mchezo, pumbaaaafu wewe
 
Ile hekima ya kiafrika imepotelea wapi? Hili nalo jambo la kuomba ushauri? Utajisikiaje kama mkeo nae anawanaume watatu nje? Mungu akurehemu

Hakujawahi kuwa nakitu kama hicho, sijui hekima za kiafriaka na ndio maana tuko hapa tulipo!

 
Back
Top Bottom