zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
Hv huoni aibu kuja hapa jf kutaka tuhalalishe ufataki wako?
Wewe ni fataki kama umemchit na kumsaliti mkeo umekuwa nani usisalitiwe?
Kwa taarifa yako na mkeo anachit pia
Wewe ni fataki kama umemchit na kumsaliti mkeo umekuwa nani usisalitiwe?
Kwa taarifa yako na mkeo anachit pia
Hapa nimerudi mdogo mdogo mkuu. yani ukitaka pressure chukua hivi vibinti vya kuanzia 20 to 30 hakuna rangi utaacha kuona.