Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Loading!....
Ni kweli kabisa, du yani kweli ni vutuko mimi sijui ana manage vipi kupanga wanaume hivyo
- :majani7:
Ni kweli kaka na nina uhakika nitamshinda shetani, ni mambo ya kishenzi sana na ninadhani Mungu kaamua kunionyesha kinyume na hapo ningekuwa naona kawaida tu.
Kiukweli asikudanganye mtu mapenzi ni hisia je, huyo binti ana ubongo wa aina gani kuwa nahisia kwa watu zaidi ya mmoja make kama unaye na mwingine anapiga inamaana hisia zinaamia kwa yule mwingine hata huyo wa tatu akipiga cm hisia zitaruka vile vile kwahiyo asikudanganye na mapenzi yake motomoto huo ni uhuni tu anajifunza mkilala utadhani ni wewe tu anakufaidisha kumbe kajifunza tu kwahiyo nakushauri uachane naye make hana nia njema kwako zaidi ya ukimwi
we mzee jiheshimu bwana unadhihirisha utu uzima wako ovyo jukwaani.
Mimi sijui vijana mnafanya nini mana hawa wabinti wadogo wanapenda kutoka na sisi wazee, mimi sijui mtapaje wachumba nyie
Aisee dozi nilikuwa nampatia ya kueleweka tu
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.
dahhhh
Hivi Jamani kwanini unapenda kuchezea maisha yako hivyo??
Hivi humfikirii mkeo na watoto? Ukipata ngoma je utamsingizia nani??
Huyo bi dada ana watatu na hao vijana wengine usikute
wao wasicha wengine nje.. Kama si kujitafutia magonjwa ya
zinaa ni nini tu ?
Dahhh tuko tofauti sana duniani.