Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
Aisee dozi nilikuwa nampatia ya kueleweka tu
Hiyo dozi wewe umetathmini na umeidescribe vp? unazugwa na vilio vya uwongo ili mradi kwake maisha yawe tambarare kwake na hakuna kingine! pia hilo suala la dozi ya kutosha is just according to you. mwisho kabisa mkeo ana mapungufu gani yasiyorekebika hata uwe na kimada? how old is she? unless uje na hoja kwamba tayari yupo kwenye menopause nawe bado unahamu ya kunyulula wakati yeye hana hisia.