Huyu binti kanikera naomba ushauri

Huyu binti kanikera naomba ushauri

Muombe Mungu radhi mrudie mkeo taratibu magumegume ya mjini yatakumaliza
 
Mimi sina shida ila kumsaidia ni lazima, yeye angekuwa na mchumba m1 sawa. sasa wachumba wa2 na mimi wa3
unanichukulia demu wangu wakati wewe una mke! kwa taarifa yako tuko wa4 na huyo demu anauza kwa wengine pia. pesa unayomhonga huwa ananigawia...juzi tu kaninunulia mashati mawili mapyaaaa! jinyonge tu!
 
Woote mliompa za uso huyu jamaa mko sawa kwa kiasi fulani.... Lakini tena hapa watu wengi ni wanafiki kupindukia! Jana kuna uzi wa mzinzi mmoja aliyeachwa nilipitia hapa karibu wote wanamtia moyo kuwa atapata mzinzi mwingine wa kuwa naye na asilimia kubwa ktk michango yao wakafikia hatua ya kumtaja 'mungu' ktk nasaha zao! Ajabu ni kuwa hakuna hata mmoja aliyemuonya kwa uzinzi wake na kumshauri KUTUBU kwa Mungu ili asamehewe na apate hiyo faraja ya kweli na guidance kwa future yake! Mimi huwa najiuliza Imani/desturi/mila gani inaruhusu uzinzi/uasherati kwa vijana/watu walio single na ikaharamisha kwa walio kwenye ndoa?! Kama tuna misingi mibaya ya uaminifu na maadili wakati wa ujana inakuwaje tutarajie kuwa ghafla tu tutakuwa 'waaminifu/watakatifu' mara tu tunapoingia kwenye ndoa??? Kijana anayetafuta sbb za kuhalalisha uzinzi(?) wake kbl hajaingia kwenye ndoa hatashindwa kutafuta sababu za kuuhalalisha hata atakapokuwa kwenye ndoa... Tusidanganyane.. unafiki ni hatari kuliko ukimwi.
 
hivi siku hizi kuna mwanandoa asiecheat? Maana imekuwa kama nyumbandogo ni lazima jmn. .hmm tutafika kweliz??mweee!!!
 
Hujammudu huyo binti,ila yeye amekumudu vyema.
Binti ana kasi kukuzidi,wewe una wivu kumzidi(kwenye football wewe ni babu-huwezi game)
 
Woote mliompa za uso huyu jamaa mko sawa kwa kiasi fulani.... Lakini tena hapa watu wengi ni wanafiki kupindukia! Jana kuna uzi wa mzinzi mmoja aliyeachwa nilipitia hapa karibu wote wanamtia moyo kuwa atapata mzinzi mwingine wa kuwa naye na asilimia kubwa ktk michango yao wakafikia hatua ya kumtaja 'mungu' ktk nasaha zao! Ajabu ni kuwa hakuna hata mmoja aliyemuonya kwa uzinzi wake na kumshauri KUTUBU kwa Mungu ili asamehewe na apate hiyo faraja ya kweli na guidance kwa future yake! Mimi huwa najiuliza Imani/desturi/mila gani inaruhusu uzinzi/uasherati kwa vijana/watu walio single na ikaharamisha kwa walio kwenye ndoa?! Kama tuna misingi mibaya ya uaminifu na maadili wakati wa ujana inakuwaje tutarajie kuwa ghafla tu tutakuwa 'waaminifu/watakatifu' mara tu tunapoingia kwenye ndoa??? Kijana anayetafuta sbb za kuhalalisha uzinzi(?) wake kbl hajaingia kwenye ndoa hatashindwa kutafuta sababu za kuuhalalisha hata atakapokuwa kwenye ndoa... Tusidanganyane.. unafiki ni hatari kuliko ukimwi.

And this is the best post in this thread.
 
ulivyomuacha mkeo ulitegemea nini?
Mko wangapi haikuhusu ukitaka wa peie yako tulia kwa mkeo....... La sivyo mkeo atapewa mzigo nje kama unavyopewa wewe.....

Kukushauri tu kwa huyo binti fata kinachokupeleka...... Ana wangapi hayakuhusu

Halafu kweli, yeye kakimbia kwa mkewe then analalamika eti anakerwa, wewe ndo unakera brother kama mke unae unategemea hyo bint ummiliki peke yako? huna sababu ya kumuuliza habari za wanaume wake, wewe weka wivu kwa mkeo na si kwa hawara,. na miaka yote 40 ushaanza kushoiya hivi kwa kuuliza maswali ya kipuuzi, sasa ukifikisha 60 si itakua balaa., please achana na vibinti rudi kwa mkeo, tunza na uipende family yako leeni watoto wenu, utamaliza bucha nyama ni ileile!
 
kasheshe! Hvi hauna soni wala aibu, ww babu! U r wastng ha youth, plz b considerate! Ndo nyie nyie mlio wake wa umri wenu!
 
tafakar,chukua hatua! EPUKA MTANDAO. CHA MCNGI ACHANA NAYE NA URUDI KWA MKEO
 
yani unalalamika utadhani mali ni yako, ngoja wakusaidie na mkeo
 
Halafu kweli, yeye kakimbia kwa mkewe then analalamika eti anakerwa, wewe ndo unakera brother kama mke unae unategemea hyo bint ummiliki peke yako? huna sababu ya kumuuliza habari za wanaume wake, wewe weka wivu kwa mkeo na si kwa hawara,. na miaka yote 40 ushaanza kushoiya hivi kwa kuuliza maswali ya kipuuzi, sasa ukifikisha 60 si itakua balaa., please achana na vibinti rudi kwa mkeo, tunza na uipende family yako leeni watoto wenu, utamaliza bucha nyama ni ileile!

Ushauri mzuri sana.
Lakini mtu mwenyewe Nduka Original . . . .mtahangaika tu na hiyo tabia haachi ng'ooo!
Labda sio yule tuliyemzoea.
 
Last edited by a moderator:

Basi asitusumbue hapa kuomba ushauri,ajue yanayomkuta ndio stahili yake kwa usaliti wake.
 
Last edited by a moderator:
Tuache unafiki bana.hakuna watu wanaongoza kwa ku cheat kama wanandoa.thats why hata rate ya ukimwi wanandoa ndio wana lead kuwa mavictims.cha msingi ndugu yangu ni kutulia kwa wife.dada zetu wa siku hizi utulivu zero kabisa.
 
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.

Pumbavu wewe, unamlalamikia huyo binti kwa uzinzi wake wakati wewe mwenyewe ni mzinzi na unazo tabia chafu kabisa. Yaani nashindwa hata kuelewa namna ambavyo huna akili hata kidogo. RUDI KWA FAMILIA YAKO NA ACHA UJINGA.
 
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.

Pole mzee. Hayo ni mambo yakujitakia mwenyewe ana ndio athari za UGUBERALI (The maximum level ya ugube)
 
Back
Top Bottom