Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Mkuu unaonekana siku si mingi utafanya yako,hauko stable kwenye maamuzi yako.Kama ni kweli anafanya yote ayo,mfukuze mtafute msaidizi mwingine.Usifanye mzaha na mchezo kwenye ndoa.Jiangalie wewe kama Mume wa mtu unayeaminiwa na siyo muhuni wa kupitiwa mbele na khanga moja.Ndoa haijaribiwi kama yule Dikteta uchwara.
 
yani hamna hata mtoto mmeshaleta beki tatu hiyo ndoa ukifanya mchezo hata miaka miwili haishi mnakuwa mmeachana.. fukuza huyo mtu na msikae na hg mpaka mtakapo kuwa na mtoto
 
Wakuu,

Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.

Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.

Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)

Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.

Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.

Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi

Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.

Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.

Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.

Nimfanyeje huyu beki tara?
Kwani ww ni rijali kweli? Sasa hapa unataka ushauri gani? Au ni mwanaume wa dar mla chips mayai? Acha kutuaibisha wanaume banaaaa, tafuna huyooo.
 
1. Kila weekend pocket money mwambie akatembee mjini. Aondoke SAA 4 na ikiwezekana kama ana rafiki mruhusu alale huko. Ila j2 awahi kurudi. Ana hamu Hugo ni binadamu.
2. Kaa naye mwambie kuwa anakukosea adabu
 
Ndiyo kipimo cha uwaminifu hicho kazi kwako si unajuwa mlamba asali ahachi ila tu huchonga buyu kuwa mzinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjina Mrefu ukisikia majaribio ndio hayo sasa. Inakubid uyashinde. Bwana Yesu hakuwa amekula ana njaa alajaribiwa na njaa kwa kuambiwa ageuzi mawe kuwa mkate. Wewe pia itakuwa unapenda sifa zote za huyo binti. Kimbia ushinde.
 
Mkuu wewe unataka ushauri au unataka tukuambie kama vile akili yako inavyowaza?

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Back
Top Bottom