Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Haki kwa chura la totoo la earlier 20's joto ni sawa na baridi kali!
Haki kwa chura la totoo la earlier 20's joto ni sawa na baridi kali!
Tatizo akimkula bila kujali katumia kinga au hakutumia, tayari atakuwa ameshalikoroga! Beki tatu wa nini watu mko wawili tu ndani ya nyumba? Hivi mnashindwa kuosha vyombo vya watu wawili au Kufua? Mengine tunajitakia wenyewe tu, kwanza wamejikosesha uhuru wa kufanya yao popote pale ndani ya nyumba yao!![]()
Raha sana kuishi wawili minikiolewa sitaki mfanykazi ataninyima Uhuru kujimwaga nitamtafuta labda nawatoto nawao kunalikizo nawatoto kwabibi nijinafasi namumeUmeona eh! Hapo kwenye rangi baadhi ya Wabongo wanapenda sana kujidekeza. Watu wawili tu ndani ya nyumba! wanataka beki tatu! Hahahahahahah lol! kukaa na vichupi tu ndani ya nyumba au kujirusha popote pale bila ya kuwa na wasiwasi wowote ule ali mradi tu wametia kufuli mlango wao.
Mkeo ana akili sana kaamua kukuletea mwanamke mwingine tena inaonekana ni mzuri zaidi ya Mkeo ndo maana kaamua kukuletea huyo ili usihangaike kulala nje na Kama umemwambia lkn anasema unamsingizia "WE HUJASTUKA TU!!! We mgegede acha uboya.Wakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?
Mpe namba za mbele, ubeki 3 hauwezi we ndio kocha wakeWakuu,

Upo sahihiAlitumwa aje apindue nyumba huyo. Kama wife haamini MBA.ke tu beki tatu sababu wife wako Ndio ana akili za Ku beki tatu and the vice versa