Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Mchukulie poa ndugu,muone kama Dada,usile kabisa,tunda haramu,
Ukila tu,umeharibu ndoa yako,hilo kosa,litakutesa kwa muda mrefu sana,ukitaka kula muwaze kwanza mkeo,je akikufanyia hivyo,utavumilia?
I speak from experience,
Ushakula beki tatu wewe nn? Maana unaonekana mzoefu
 
Wife hataki nirudi home nikose chakula
mkuu mwambie akiwa nyumbania apike chakula kiwekwe kwenye freezer pasha kwenye micro wave kula .. mkuu unashindwa kununu rice cooker +pressure cooker ukija home unappika within short time unakula nadnai hata gharama haziwezi kufika za mshahara wa dada
 
Back
Top Bottom