Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Chezea kichwa cha chini weye! ajilie tu ila atumie protection vinginevyo atamjaza mimba. Mke naye kwenda kuleta mrembo kama huyo sijui alikuwa anawaza nini. Jamaa udenda ndiyo ushaanza kumchuruzika hadi shati chepe chepe KISA anataka kumvua picchu beki tatu.😛😛😛

Bado uko honey moon ndoa haina mwaka. Mkomalie akipita na kigauni kifupi mwambie nenda kavae khanga juu.
 
Chezea kichwa cha chini weye! ajilie tu ila atumie protection vinginevyo atamjaza mimba. Mke naye kwenda kuleta mrembo kama huyo sijui alikuwa anawaza nini. Jamaa udenda ndiyo ushaanza kumchuruzika hadi shati chepe chepe KISA anataka kumvua picchu beki tatu.😛😛😛

Tatizo akimkula bila kujali katumia kinga au hakutumia, tayari atakuwa ameshalikoroga! Beki tatu wa nini watu mko wawili tu ndani ya nyumba? Hivi mnashindwa kuosha vyombo vya watu wawili au Kufua? Mengine tunajitakia wenyewe tu, kwanza wamejikosesha uhuru wa kufanya yao popote pale ndani ya nyumba yao!
 
Pambana na hali yako


Usijiroge ukamgusa yaan utaaribu kila kitu na hiyo ndoa itakuwa imeingia jini mkata kamba jaribu kuwa sirius na uwe busy na mambo yako pia uwe unamshushua pale unapoona kuwa yuko deep sana na wewe

Apo ndo u gentleman unatakiwa u applay mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mfalme suleiman na IBRAHIM walikuwa wanakula beki tatu zao..! Sembuse wewe mkuu..! Hakuna dhambi hapo.. Unatekeleza dini mkuu kula tu huyo..! Ni halali yako..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimfanyeje huyu beki tara?
Umeshindwa kabisa kumkanya huyo full back na kuishia kukimbilia kumshitaki kwa mkeo? Mkeo nae wa Tanga Kunani? Umeshamalizwa wewe.

Kama kila akipita unalegea kama teja na hujui la kufanya kama baba mwenye nyumba, mtafune tu. Hakuna namna nyingine sasa.
 
Wakuu,

Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.

Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.

Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)

Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.

Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.

Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi

Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.

Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.

Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.

Nimfanyeje huyu beki tara?
Jana umeandika unatafuta mchumba Leo ndoa ina miezi?
Lakn anyway hizi story zako anaweza kutunda ata mtto wa darasa la pili
 
Unamwambia wife ili iwaje sasa kwani ww unashindwa kudeal nae mwenyewe? kama umeshindwa, mtafune kimya kimya tu hamna jinsi, sema usije nogewa mkuu. Wife wako nae alikuwa anafikiria nini kumleta mtoto mrembo hvyo?
 
Gusa unase! Ukithubutu kumgonga beki3 (hasa hao wa tanga kulikozaliwa tunu za mapenzi) utajikuta unakuwa slave kwake badala ya boss. Mark my words, utapata hasara zifuatazo
1. Utaipoteza heshima na hadhi yako kama boss, kama mume wa boss wake, she will drag you down to her level.
2. Utapoteza heshima kwa jamii yako, ndugu zako, wazazi wako, wakwe zako, shemeji zako....(utakapoonja asali na kuchonga mzinga, lazima siri itavuja)
3. Uta hatarisha ndoa yako, amani kati yako na mkeo, upendo, uaminifu uliomuapia utapeperuka, hatakuamini tena asilani hata kama hamtatengana
Note:
Wanawake warembo na wenye kushawishi na kujipitisha ili kujaribu bahati yao kwako sio huyo beki 3 tu ( I hope so), kwa hiyo, huyu anatumia nafasi yake. Ukimla, ni mlango wa kuwala na hao wa nje ya geti lako ...kule kwenye mizunguko yako ya kila siku.
Advice:
Ni bora ufanye hii kitu nje kabisa, very far from your home. Kuliko wa humo ndani.
 
Na ukishampitia huchelewi kuanza kumlalamikia Shetani na wakati sasa hivi unasema Bekitatu ndio anakutega.

Nachukia sana hii tabia eti "ananitega"! wewe humtegi? Hivi kuna mwanamke asiyevutia kufanya naye ngono? Mbona hufanyi ngono na dada yako?

Kubadilika ni muhimu! Sio lazima kufanya ngono na kila mwanamke.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
nyinyi vivulana mkilalaga mkaota mkachafua na mshuka mnakuja humu ooh housegirl figure matata anantega, tupisheni huko
 
Nilishasema ktk maisha yangu,sitakaa nile beki 3 mpaka Dunia inaondoka! Siwezi kumdhalilisha mke wangu kwa kiwango hicho. Mtu pekee ambae naweza kula hapo nyumbani,ni mdogo wa mke wangu km akija kuishi kwangu. Ukiona unaishi na mke,halafu familia ya mkeo ikakubali mtoto wao mwingine wa kike aje aishi kwako,maana yake hiyo familia imekupenda na kukukubali na kukupa nyongeza,ukilaza damu utadharauliwa mno ukweni!!! Ha haaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kuweka sura nyepesi(soft face) ndani ya nyumba kunaleta sisimizi wengi wanaochafua ndoa
 
Mwambie hupendi ujinga kama hawez kuvaa vizuri asikutengee chakula wala nn
Ukimchekea bas unapenda anavyofanya.
 
Back
Top Bottom