Wakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?