likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,085
MKUU, TAFUNA, ACHA UZWAZWA.
IN YOUR OWN RISK
IN YOUR OWN RISK
Imeandikwa usimtamani mke wa jirani yako wala mjakazi wake (mwanzo) kwa hiyo huyo ni wa kwako wewe tu mtafuneWakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?
.Mke mjanja anataka mme asitoke nje ndiyo maana kamletea beki tatu mkali. Tanga raha bwana ipo siku ntakanyaga tu.Amesema ndoa haina mwaka afu wana housegirl... mke akiingia shift za usiku? Kuna mawili... mke ni taahira au mke kamletea jini mahaba mtego.
Baaasi!
Bwana, hakuna mkate ufurukutao mbele ya chaiWw mwanaume acha kujilegeza inamaana kumuona tuu hyo mashine yako inasimama? Utakua na shida sio bure. Halafu eti wife nampendaa sanaa unampenda wakati unamtamani msichana wa kazi?? Si bora ukatamani nje uko. Achana na mawazo na hako kasichana katakuharibia maisha yako kabisa ukabaki na abdalah kichwa wazi wako tuu
Story za kutunga hadithi za puka pakawaWakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?
Kwa sauti ya makongoro nyerere.."sikaja mwenyewe kwenye cha ndimu..mpige dobo ukimaliza mvishe na kanzuu..si ametaka mwenyewe!"..mpige kachabali mkuu hakuna nyasi mbele ya ng'ombe.Wakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?
Are you seriousAlitumwa aje apindue nyumba huyo. Kama wife haamini MBA.ke tu beki tatu sababu wife wako Ndio ana akili za Ku beki tatu and the vice versa