Huyu babu nani?

Huyu babu nani?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Naona anaweka mambo sawa
 

Attachments

  • 1434134313396.jpg
    1434134313396.jpg
    17.7 KB · Views: 993
Hahahaaa, huyo anasaga tumbaku bwana....
 
Hapana bwana...wewe nae utakua mtumiaji tu ndio maana unang'ang'aniza.

mbona nawe unang'ang'ania kuwa ni tumbaku watumiia…?? Ila babu kajipinda hivo kuna kitu anaficha aisee
 
mbona nawe unang'ang'ania kuwa ni tumbaku watumiia…?? Ila babu kajipinda hivo kuna kitu anaficha aisee

Hahahaaa, nilikua namuona babu yangu (R.I.P)....
Haya bwana unaonekana mjuzi wa hayo mambo.
 
Hapo ni weka mbali na watoto hiyo, tena ananuizia maneno yake hapo apate power.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom