huyu atakuwa kafanya kosa gani?

huyu atakuwa kafanya kosa gani?

310016_461586837259401_489233330_n.jpg


huyu atakuwa kafanya kosa gani?
Kwenye ukoo au jamii ukiwa mtu wa hovyo, kama kulewa mapombe watoto wasiende shule wanalala na njaa, unapiga mkeo bila sababu, umeshindwa kuudhulia shughuli za ukoo unakuwa disciplined, unanyooloshwa siku nyingine uwe makini!!!

 
Kwa kisukuma inaitwa 'Ikarangiro'

Unachapwa hadharani kama ndugu wa ukoo wakija kwako na kukuta nyumba imeanguka halafu baba mwenye nyumba hujali au hujajenga nyingine
Unachapwa hadharani, afu unalipa faini ya ng'ombe na unapewa muda kadhaa kujenga nyumba hiyo.

kumbe wewe ni msukuma.

sasa hapo akishachapwa mbele yenu baadae mnaendelea kumuheshimu kwa kiwango kilekile au mnaanza kumdharau?
 
kina mama wamekaa kwa makini wakifuatilia tukio
 
Mmh, kama kuna kabila lina mfumo dume jamani, wasukuma ni miongoni

Anachapwa baba hadharani, lakini heshima inaendelea kuwa mbele zaidi ya tai.
Sijui wamewezaje kufanya hili, mme au baba, hata afanye nini heshima iko pale pale

Ila anapigwa jamani, kama mmeo utalia aisee

kumbe wewe ni msukuma.

sasa hapo akishachapwa mbele yenu baadae mnaendelea kumuheshimu kwa kiwango kilekile au mnaanza kumdharau?
 
Alimtongoza mke wa mwenyekiti huyo, hapo ndo anashikishwa adabu yake...
Copy: aione Arushaone kama ONYO.
 
Last edited by a moderator:
tehetehe picha imenikumbusha kijijini,jamaa kashikwa ugoni huyo hapo wananzengo wanamfundisha adabu

duu wananzengo hivi hili neno bado linatumika muda kweli sijalisikia..
 
ana deni la gongo....au amekojoa kitandani
 
Huenda ameiba godoro linaloonekana hapo kando au amefumaniwa na hii ni Bukoba. Wahaya wenzangu mnaweza kukubaliana nami kwenye adhabu hii ya viboko haitolewi mahali pengine popote zaidi ya kule kwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom