huyu atakuwa kafanya kosa gani?

huyu atakuwa kafanya kosa gani?

310016_461586837259401_489233330_n.jpg


huyu atakuwa kafanya kosa gani?
Hii adhabu inanikumbusha mbali sana miaka ya 87 mpaka 90 kule mwanza maeneo fulani hivi sengerema ilikuwa mwizi akikamatwa anapelekwa kwa mjumbe wa kijiji alafu anapigwa viboko hivyo hivyo kama jamaa anavyoonekana kwenye picha.
 
wa vijijini adhabu kama hizo hutolewa sana siku ya vikao vya wanakijiji, unakuta makosa kama ya uvivu, wizi mdogomdogo, ugomvi n.k mwenyekiti wa kijiji kupitia kwa maamuzi ya wanakijiji kiboko kinatolewa
 
Nafikiri hapo ni mitaa ya Komaswa au Koreri. Huyo atakuwa hakujumuika na wanakijiji wenzake pindi "yowe" ilipopigwa. Then wakamchukulia kama muasi, wakapiga faini ya ng'ombe akakataa kutoa, akasema bora viboko kuliko kulipa ng'ombe.
 
Hapa kwenye boma letu kwa mujibu wa sheria za boma mtu anayepewa adhabu kama hii hadharani kwa kuchapwa bakora 70 kwa makosa kama kutukana, fujo, ulevi kupindukia n.k

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hilo liccm limeiba hili...linachapwa nalikamanda ya lichadema...teh..teh...teh...
 
atakuwa kafumaniwa na nke ya ntu. Mwenyekiti kamwamuru mwenye nke alipize kwa kumcharaza bakora. vya watu nouma!!
 
member mmoja hapa aliwahi kusema kuwa jf ni zaidi ya University, sasa sijui unaweza eleza nini ikizidi University!
 
...i think jamaa hakushiriki "sungusungu" katika kijiji chake.
 
Huyo lazima kashikwa ugoni...

Huko Uganda kwa jamii za Wasebei na Karamajong huo ndio utaratibu. Ukitembea nje ya ndoa unalamba mikwaju 21 mbele ya kadamnasi na mwanamke uliyetembea naye anapata the same number of bakora.

Utaratibu huu ukija hapa TZ kuna vijitu MMU ------ yataota sugu.
 
watu wanaonekana hawana shauku ya kuona jamaa akizikimbia fumbo, huyu sugu kweli. na mchapaji sijui anafikiria "nimchape ngapi huyu... mbona aoneshi hofu"

C6 Huyo kaiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom