huyu atakuwa kafanya kosa gani?

huyu atakuwa kafanya kosa gani?

Kamchungulia mama mkwe wake akioga
310016_461586837259401_489233330_n.jpg


huyu atakuwa kafanya kosa gani?
 
Nahisi kama kajikojolea kitandani...naona godoro pembeni!!!
 
Kwa kisukuma inaitwa 'Ikarangiro'

Unachapwa hadharani kama ndugu wa ukoo wakija kwako na kukuta nyumba imeanguka halafu baba mwenye nyumba hujali au hujajenga nyingine
Unachapwa hadharani, afu unalipa faini ya ng'ombe na unapewa muda kadhaa kujenga nyumba hiyo.

ivi kumbe we ni msukuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom