Huyo lazima kashikwa ugoni...
![]()
huyu atakuwa kafanya kosa gani?
Young Master rafiki yangu hii adhabu inatosha kweli kwa mgoni alifumaniwa?
![]()
huyu atakuwa kafanya kosa gani?
Kwa kisukuma inaitwa 'Ikarangiro'
Unachapwa hadharani kama ndugu wa ukoo wakija kwako na kukuta nyumba imeanguka halafu baba mwenye nyumba hujali au hujajenga nyingine
Unachapwa hadharani, afu unalipa faini ya ng'ombe na unapewa muda kadhaa kujenga nyumba hiyo.
Mchapaji kavaa .... kichwani sio Adhabu
ya Sharia inatekelezwa hapo maana hataree.
Kama nyumba tu mtu kashindwa kujenga hao ng'ombe atawatoa wapi?