Alishahukumiwa?Kweli dunia ni uwanja wa fujo.
Ukiwa mbabe sana hapa duniani basi ipo siku utakutana na wababe wenzako na watakukalisha.
Nasikia huyu mwamba aliyemtolea Nape bunduki naye leo hii ananyea ndoa au kubebeshwa mtondoo pale ngome.
Wanadai alihusika na ukatili wa kudhulumu uhai wa mjasiliamali wa huko kusini wilayani Nachingwea.
Hakika dunia ni uwanja wa fujo na mwenye nguvu mwache apite.
Tatizo watu huwa wanamchaganya huyu Mwamba. Yaani huyu jamaa afikishwe Mahakamani kweli, picha zake siku hiyo zisijae mitandaoni na magazeti yasiandike. Mwamba mimi nimepiga naye mzigo sehemu opokuwa amepumzika zake, mda wake ulipousha alirudi Dar, baadae akakwea chuma!Mimi mwenyewe nilisikià yupo nje ya nchi,kikazi.
Wacha kudanganya watu mzee mwenzanguTatizo watu huwa wanamchaganya huyu Mwamba. Yaani huyu jamaa afikishwe Mahakamani kweli, picha zake siku hiyo zisijae mitandaoni na magazeti yasiandike. Mwamba mimi nimepiga naye mzigo sehemu opokuwa amepumzika zake, mda wake ulipousha alirudi Dar, baadae akakwea chuma!
Hana jibu.Alishahukumiwa?
Huyo alikuwa ni askari wa kituo kipi alipomfanyia Nape hivyo?
Mzee wangu unaweza kuta wewe ndiye unaongea uongo. Maana hata kipindi ile issue imeibuka, hizi habari ziliibuka!Wacha kudanganya watu mzee mwenzangu
Anyongwe tuKweli dunia ni uwanja wa fujo.
Ukiwa mbabe sana hapa duniani basi ipo siku utakutana na wababe wenzako na watakukalisha.
Nasikia huyu mwamba aliyemtolea Nape bunduki naye leo hii ananyea ndoa au kubebeshwa mtondoo pale ngome.
Wanadai alihusika na ukatili wa kudhulumu uhai wa mjasiliamali wa huko kusini wilayani Nachingwea.
Hakika dunia ni uwanja wa fujo na mwenye nguvu mwache apite. View attachment 2683156
Hakuna siku niliona vibaya kama siku Nape alivyofanyiwa hivyo. Yaani ilifikia Waziri kudhalilishwa namna hiyo. Iiisikitisha na kunitisha sana. Mpaka mitandao ya kijamii nikawa naiogopa.Huyu bado hajahukumiwa anaendelea na kesi pamoja na wenzake kule Mtwara
Huyo anaonesha kuuwa kwake ni kitu cha kawaida tu.Anyongwe tu
Alimfanyia Nape udhalilishaji sana, tunajua alitumwa lkn lazima ujiongezeHuyo anaonesha kuuwa kwake ni kitu cha kawaida tu.
Ukifa unazaliwa upya Kama Mwanamke,na Mwanamke akifa anazaliwa tena upya Kama Mwanaume! Kwa hiyo kojoa kwa ustarabu ili na wwe ukirudi ukojolewe kwa ustarabu pia! Malipo hapa hapa Duniani!!kwahiyo vidume wote nasisi tutakuja kukojolewa?
Jiwe alikuwa anawafuga hawa wajinga kiasi wakajiona wao ndiyo watoto wa MunguHakuna siku niliona vibaya kama siku Nape alivyofanyiwa hivyo. Yaani ilifikia Waziri kudhalilishwa namna hiyo. Iiisikitisha na kunitisha sana. Mpaka mitandao ya kijamii nikawa naiogopa.
Ccm watu wabad sana linspokuja suala la pesaHawanaga hata huruma hiyo