Huyu askari kwa sasa anasota rupango

ndio maana alikuwa anamwanbia jamaa "utaharibu wewe" jamaa ikabidi amcheki akagundua huyu atakuwa mwenzetu.

Kitenge, Eng Hersi, Manara, Mwana FA nk wanaenjoy hela za walipa kodi tu.
Yaan na Manara ni suti nyeusiiii?? Aaah wee nakataaa.
 
Siyo kweli kabisa. Huyu Mwamba Last year alikuwa chimbo moja linalohusiana na mambo ya ndani anakula maisha. Baada ya hapo nadhani alienda zake nje ya Nchi.
Acha umbeya, si ulitaje sasa? Chimbo chimbo kichwa kama chimbo!
 
Binamu naona umekataa kupelekwa mbiombio
Napelekwajee kwani wima wima hivyoo, ndo kwanzaaa natandika jamvi nilalee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo kweli kabisa. Huyu Mwamba Last year alikuwa chimbo moja linalohusiana na mambo ya ndani anakula maisha. Baada ya hapo nadhani alienda zake nje ya Nchi.
Mimi mwenyewe nilisikià yupo nje ya nchi,kikazi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…