PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Moja ya matukio ambayo yananiuma sana mpaka leo hii ni pamoja na hili... hiki kifo kinaniuma mno mno mnooo...!!

Mama wa watu inavyoonekana alikurupuriwa tu na purukushani za watu ikabidi na yeye aliunge tu kuokoa maisha yake na ya watoto wake baada ya kuona hali ya hatari... ghafla akakatishwa uhai wake na maharamia waliotumwa na mwanamke mwenzie samuya.. inauma sana kwakweli.
Hakukurupushwa, alikuwa anaandamana kwa kudhamiria kabisa na tena alikuwa na rungu mkononi la kupigia.
 
Hamna video inaniumiza kama hii kila nikiikumbuka kichwani, mzazi wa mtu anauliwa hivi mbele ya mwanae.

Mtoto anasema mama amka akijua labda amejikwaa.

Daaah.

MUNGU NINAYEKUAMINI TUJIBIE SASA.
Mimi mwenyewe mara ya kwanza nilivyooana nikajua labda bi mkubwa amejikwaa au pumzi imeisha.

Yule dogo anarudi kumwinua mama ake ndio nikaona kumbe ni risasi
 
Mimi mwenyewe mara ya kwanza nilivyooana nikajua labda bi mkubwa amejikwaa au pumzi imeisha.

Yule dogo anarudi kumwinua mama ake ndio nikaona kumbe ni risasi
kuna video nyingine kapost mange dk 50 zilizopita mochwari ya mwananyamala, Tunaomba Mungu ashushe hukumu yake mapema.
 
Back
Top Bottom