PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona

Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani?

Hapana. Tutawakosea sana watu hawa

View attachment 3502117
Hata makaburu soweto hawakuweza kuua watu kinyama namna hii
 
Video nyingine hyo.kama umeshaiona sawaa ila kama bado .angalia unyama wa wanaolinda usala wa raia na Mali zao wanavyofanya kazi
 
Attachments

  • FB_VID_1392413365836296_20251115_082830.mp4
    14.8 MB
Awe amekufa kabisa kwa kunyongwa.
Ndo tuna msubiri aliyesema anaunda tume atachukua hatua gani au ndo Yale yale ya mzee kibao.funika KOMBE mwanaharamu apite.sisi tunapiga kelele inawezakana wenzetu wakiwa peke yao wanapongezana na kucheka kuwa wametukomesha na tuliwaambia hawakusikia.wakitoka nje wanajifanya Wana huzuni
 
Moja ya matukio ambayo yananiuma sana mpaka leo hii ni pamoja na hili... hiki kifo kinaniuma mno mno mnooo...!!

Mama wa watu inavyoonekana alikurupuriwa tu na purukushani za watu ikabidi na yeye aliunge tu kuokoa maisha yake na ya watoto wake baada ya kuona hali ya hatari... ghafla akakatishwa uhai wake na maharamia waliotumwa na mwanamke mwenzie samuya.. inauma sana kwakweli.
 
Sisi ndo tunapaswa samehe. Na sio sisi tusamehewe

Hao walioitwa Wahaini wameteswa sana kukubali kuwa ni wahaini.
Tayari wameingia doa maana rekodi zao zinabaki mahakamani
 
Tuwekee video
Community Guidlines za JF haziruhusu. Nenda X kwenye page ya Mange Kimambi. Utaiona hiyo na nyingine nyingi. Kwa jinsi ilivyo trend hii video huko insta inashangaza kwamba mpaka sasa wewe hujaiona.
 
Ndo tuna msubiri aliyesema anaunda tume atachukua hatua gani au ndo Yale yale ya mzee kibao.funika KOMBE mwanaharamu apite.sisi tunapiga kelele inawezakana wenzetu wakiwa peke yao wanapongezana na kucheka kuwa wametukomesha na tuliwaambia hawakusikia.wakitoka nje wanajifanya Wana huzuni
Kusubiri? Maake hapo kwanza ncheke🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom