Inaonesha ni mzoefu wa hayo maeneo ee!
si tunatoa uzoefu wetu ndugu.
Inaonesha ni mzoefu wa hayo maeneo ee!
Mwenge...sehemu wake zetu wanaspend siku nzima wakitengeneza nywele.
Unamkuta mdada anashambuliwa na wamasai/wakongo zaidi ya wanne.
Mkuu hapo umenena maana sina sehemu ya kuongezea. Ila pale tazara pana eneo linaitwa Mapambano hapo utapata mahitaji muhimu ya vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu kama madirisha na nondo lakini feki
Uwanja wa fisi Oyeee
sh. 1000, unakula nyama choma, chipsi, unalewa, unakamua mzigo na unabakiza hela ya supu kesho yake.
kinondoni makaburini kuna wadada weupe paleeeee aiseee we acha tu.
kama mtu anakuja dar kutembea namshauri wakati wa sunset
apande pantoni ya kwenda kigamboni ile kubwa akae juu....
so nice....kwenda na kurudi
Dah! Natamani kufika huko dsm. Nasikia kuzuri.
Tandika sokoni kuna wezi wa mfukoni waliobobea.
Wewe usitoke Arusha, joto la Dar litakuharibu kabisa.
arusha napo pazuri eeh?
arusha napo pazuri eeh?
Ni pazuri tatizo tope wakati wa mvua, unaweza acha kiatu.
Hahahahaaa kwa kweli huko ndo penyewe kwa sofa....usisahau kumpeleka kupanda PANTONmi nitakutembeza keko wataalam wa sofa kama unataka
Ni pazuri tatizo tope wakati wa mvua, unaweza acha kiatu.