Vipi kwani. . . una tatizo na waChagga?
No no no! I mean hapana sina tatizo na wachaga! Ila wanawake wa kimachame ndo nawagwaya kinoma! Hawakawii kukutenganisha viungo ukipata mshiko wa nguvu!
Kheee ngoja nitafute mtu mwingine maana hukawii kujikwaa alafu ukanisingizia nilikusukuma kisa una simu ya laki mbili na nauli ya bajaji.
Aaa Lizzy! Hapana ngoja nikutembeze mimi bhana we mtnto wa gate kali njoo ukaone vituko uswahilini!
Alafu ukikabwa kabari useme mtoto wa kiMachame alikuandalia vibaka?
mwenge...sehemu wake zetu wanaspend siku nzima wakitengeneza nywele.
Unamkuta mdada anashambuliwa na wamasai/wakongo zaidi ya wanne.
kama mtu anakuja dar kutembea namshauri wakati wa sunset
apande pantoni ya kwenda kigamboni ile kubwa akae juu....
So nice....kwenda na kurudi
Kama unataka nguo za kila grade, Tandale Mall, sasa hivi ime-extend to big braza.
Usisahau koko bichi, mihogo inalimwa baharini thru out the year hasa siku za sikukuu, utalii wa ndani tosha kabisa.
Mburahati kwa bitikaenga kuna komoni na wanzuki bomba!
Hawa ndio umiza kichwa kabisa! Unakuta mdada kajiachiaaa..hata tit hajavaa, mshilkaji anajifaidia tu!khaaa usisahau
wale wanatomasa miguu na kuwapaka
rangi hao wake zenu
Siyo Mburahati kwa Bitikaenga,bali Kigogo Luhanga kwa Bitikahenga