Huyajui maeneo haya!?Basi huifaham Dsm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyajui maeneo haya!?Basi huifaham Dsm.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kadoda11, Jan 3, 2012.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,274
  Likes Received: 8,358
  Trophy Points: 280
  1-Kariakoo jirani na mzunguko wa magari (round about):wanapatikana wauzaji wa dvd za ngono za kila aina,muuzaji mmoja alinidokeza kuwa kijiwe hicho kinafahamika pia kwa viongozi wa serikali.Wao pia ni wateja wao wakubwa wa dvd hizo.kuna wakati wanaenda wenyewe au hutuma wap ambe wao wakawachukilie mzigo.
  2-Posta mpya jirani na mgahawa wa azam take away:Hiki ni kijiwe cha matapeli waliobobea katika utengenezaji wa vyeti bandia vya kitaaluma,kuiga sahihi za viongozi,uuzaji wa fedha bandia za kigeni,uchongaji wa mihuri,usajili wa kampuni hewa za kibiashara nk.Kwa wale mnaopeda kupita njia za mkato kufikia mafanikio sio vibaya mkianzia hapa.
  3-Kariakoo gerezani-hili ni eneo ambalo vijana wako busy n asana na kazi ufundi.Kila kijana yuko imara kwa kazi za mikiki mikiki na shuruba.
  Ila lina sifa ya ziada.kama umeibiwa kifaa chochote kilichoundwa kwa shaba,chuma,bati nk.Sehemu ya kwanza kuanza uchunguzi wako ni eneo hili.Hapa ndipo wanapo patikana mabingwa wa kuuza vyuma chakavu,kutengenisha spare za magari ya wizi na hata kuyabadilisha rangi.Ukiibiwa gari na ukafika hapa,kuna mawili kukuta gari lako likiwa na muonekano tofauti au kulikosa na zana zake kuuzwa katika maduka ya used auto spares yaliyotapakaa kila kona jijini.
  4-Kariakoo mtaa wa aggrey:mnao tumia bidhaa halisi za blackberry,nokia,iphone ,sumsumg nk.hili ni eneo muhimu kulifahamu.
  Ni kipande kidogo cha mtaa wa aggrey kama unelekea kiwanda cha bia cha tbl.Hapa wanapitaikana vijana watanashati madalali wa bidhaa za simu za mkononi.Kama simu yako ya gharama imeibiwa nashauri uchunguzi wako uanzie mtaa
  wa aggrey.Na kama ukakuta kijana anauza simu yako usipandishe hasira na kutoa vitisho.Elewana nae ili akuuzie upya anagalau kwa bei nafuu.Kinyume na hivyo uhakika wa kuipata ni mdogo.Hii ndio dsm akili kichwani mwako.
  Wakuu kama kuna sehemu sijaitaja sio vibaya mkaitaja pia.
   
 2. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  uwanja wa fisi hapa ni nooma isee!
   
 3. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mburahati kwa bitikaenga kuna komoni na wanzuki bomba!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Uwanja wa fisi Oyeee
  sh. 1000, unakula nyama choma, chipsi, unalewa, unakamua mzigo na unabakiza hela ya supu kesho yake.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi si mwenyeji Daslamu, nani atanitembeza?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  TF au Husyn.
  Wakikuambia kwenda uwanja wa fisi uvae helmet na dust mask
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kongosho, muambie wifi yangu Lizzy anywe na dawa za kipindupindu kabisaa kabla ya hiyo trip!
   
 8. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mimi apa! Twende ukale mabandama ya kuchoma na utumbo wa kuku! Huko ndio kweetu!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, hapa supu linapikwa, pembeni wanatapisha

   
 10. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo umenena maana sina sehemu ya kuongezea. Ila pale tazara pana eneo linaitwa Mapambano hapo utapata mahitaji muhimu ya vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu kama madirisha na nondo lakini feki
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaha

  Kongosho embu niambie kunani huko uwanja wa fisi. . . .
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mabandama ndio yakoje?
  Alafu utumbo wa kuku huku Moshi hata mbwa hali.Hua tunatupa.
   
 13. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  k/koo mnadani umepasahau, hapo ukiibiwa kifaa chochote kwenye gari lako jaribu kuwahi hapo.
   
 14. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Posta ya zamani pale garden ya benki kuna wauza kahawa,madereva tax,wamekaa mda wote wanacheza draft..ulizia chochote pale utapata cheti,visa(adi ya ukimbizi),paspot,kiwanja,nyumba ya kupanga/kununua,machangu wa high class,ajira,kununua bank statement nene za kufanikishia michongo,gari ya kukodi/kununua na magumashi yote apa mjini..

  Kuna chocho lingine pale Mwenge...aah nisijearibu dili za watu bure.
   
 15. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kinondoni makaburini kuna wadada weupe paleeeee aiseee we acha tu.
   
 16. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wee twende tu! Utajua huko huko,uskonde! Ala kumbe na we mchaga!
   
 17. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mi nitakutembeza keko wataalam wa sofa kama unataka
   
 18. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kuna sehemu umeziacha maeneo ya kinondoni ni noma
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vipi kwani. . . una tatizo na waChagga?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Karibu na lilipo gereza la keko?
   
Loading...