Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

NEC ni tofauti na ZEC mzee mtajibeba

Kweli wewe ndio kilaza ,nani atajibeba..Kumbuka akichaguliwa Magufuli atokuwa Raisi wako wewe na hao wengine mliojipendekeza kwa CCM. Kazi yake kubwa ni kutuhudumia Watanzania wote.sishangai unachoshabikia hapa.nenda shule
 
kura za urais wa jamuhuri zilikuwa zinapigiwa vituo tofauti na zile za uraisi wa zanzbar, uwakilishi na udiwani?
nulikuwa nakuona una akili kumbe hata boga linakuzidi!!!! pumbafu kabisa.

Kwa hiyo za Tanzania bara halari ila za visiwani ndio zimekosewa.. Mm nadhani kwakuwa huu ni muungano na wahuku ufutwe kwa upande wa rais tuchague upya siku moja.
 
ImageUploadedByJamiiForums1446037812.537142.jpg
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1446037783.283816.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1446037783.283816.jpg
    63.6 KB · Views: 29
Za zanzibar zimefutwa za Rais wa Mapinduzi Zanzibar sio Rais wa Jamhuri ya Muungano

Umemusikiliza m/kiti wa tume ya taifa ya uchaguz znz, sababu alizotaja ni wazi hakuna haja yakuendelea kwa NEC kutangaza matokeo.
 
walikuwepo wenye akili kina ZITO, MKUMBO, hawapo tena chadema sasa hivi kabaki na kina prof jay, Sugu, Lema, Kileo,Nassari unategemea kuna kitu hapo?

...huyo mwenye akili kashinda viti vingapi vya ubunge jimboni kwake?!
unaropoka tu..
 
Bara hakuna sababu ya kufuta matokeo
Mtu una wabunge 35 mwenzio ana 150, kweli unategemea kushinda urais hapo hata kufikiri wa akili ndogo tu!!
 
Ila wa ccm umeonesha ukomavu wa kisiasa sio, very shame on you


Mkuu hujanielewa upinzani wanatakiwa kudai na kusimamia kuhakikisha haki inatendeka & it's vice versa belong to ccm leaders and unfortunately it's what happening now

Udhaifu wa upinzani unakuja pale mbowe anapojitokeza na kudai matokeo yamechakachuliwa bila kutoa stat za kutushawishi inatakiwa watoe takwimu tumepata nini kimetangazwa kipi?
 
Wamefuta matokeo ya znz ya nafasi ya urais na uwakilishi, hawajafuta matokeo ya Rais wa muungano, faham kuwa znz wana karatasi zaidi ya 3 za kupigia kura, msitafute pakutokea

Sasa kilichohalalisha matokeo ya urais wa muungano kutoka kwa watu walewale wa eneo lilelile kinaharamisha vipi uchaguzi wa zanzibar ?
 
Back
Top Bottom