Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

walikuwepo wenye akili kina ZITO, MKUMBO, hawapo tena chadema sasa hivi kabaki na kina prof jay, Sugu, Lema, Kileo,Nassari unategemea kuna kitu hapo?

Hapo bado Msaga Sumu
 
Wamefuta matokeo ya znz ya nafasi ya urais na uwakilishi, hawajafuta matokeo ya Rais wa muungano, faham kuwa znz wana karatasi zaidi ya 3 za kupigia kura, msitafute pakutokea

KUSOMA UNAJUA AU UNASIKILIZA HADITHI?
BLhdlD9.jpg
 
Mtulie makamnda wapo wanapanga mikakati siyo kukurupuka tu kama mnavyotaka nyie.
 
Kwa mtu ambaye amepitia report ya mwenyekiti wa ZEC na kuielewa hawezi kuforce tuendelee kuamini kura za rais wa muungano toka zanzibar, moja ya sababu ni kuwa na wapiga kura wengi sasa hao wapiga kura si walipiga kura za rais wa muungano sasa kwanini tuhalalishe kura zao kama tayari zina walakini na mwenyekiti amesema amefuta matokeo YOTE hyo huwezi kutoa ya urais wa muungano na wakat waliyasimamia wenyewe na waliopiga kura ni wazanzibar
 
walikuwepo wenye akili kina ZITO, MKUMBO, hawapo tena chadema sasa hivi kabaki na kina prof jay, Sugu, Lema, Kileo,Nassari unategemea kuna kitu hapo?

Una matatizo ya akili. Wewe huongei point isipokuwa una ongea MAHABA.
 
Hapa ndo unaweza kumbuka Dr Slaa na Zitti.

Kama Zitti ulimaanisha Zitto tafadhali usiwalinganishe. Ni watu wawili tofauti mno. Ni kumvunjia heshima na adabu Mzee Slaa kumlinganisha na Zitto. Dr Slaa alijiondoa Chadema baada ya kuona misingi na sera zake zimewekwa kando na chama kikapokea misingi na sera za wavamizi waliokuja na pesa na uchafu mwingi. Dr. Slaa hakuwa tayari kuingia kwenye kazi ya kusafisha watu wenye tuhuma. Yeye Zitto aliamua kukisaliti chama kwa lengo la kuua upinzani.
 
Hapo umenena mkuu,chadema hamna kitu sasa hivi wanaendeshwa na hisia tu na siyo le akili kubwa,namkumbuka le mutuz

Nawew mwana ccm mwenzangu hayo ya cdm yana kuhusu nini unatokwa na povu bure wakati vyama vipo vingi zaidi ya chadema
 
NEC ni tofauti na ZEC mzee mtajibeba

Hapo umenena mkuu,chadema hamna kitu sasa hivi wanaendeshwa na hisia tu na siyo le akili kubwa,namkumbuka le mutuz

Wamefuta matokeo ya znz ya nafasi ya urais na uwakilishi, hawajafuta matokeo ya Rais wa muungano, faham kuwa znz wana karatasi zaidi ya 3 za kupigia kura, msitafute pakutokea

Weee NEC na ZEC ni tofaut kbsaaaa CCM mbele kw mbeleee

Matokeo ya urais wajamhuri lazima zijumuishwe huku bara, naona huelewi nchi na katiba za hizi nchi mbili.

Tatizo linalolalamikiwa ni uchakachuaji wa matokeo.

Ni wakati muafaka kwa uchaguzi uangaliwe upya, na Tume za Uchaguzi ziwe huru na kama hivi zilivyofanya.

Endapo kama WaZNZ wamekataa kutambua matokeo na haya haya pia upande wa JMT nao kura zao zimejumuishwa, ina maana pia zimechakachuliwa kwani jamaa hawakutenda kwa kura za Shein na Seif tu, bali zote.

Hii ina maana kuwa endapo isipokuwa kwa pande zote ni kwamba Waznz hawatamtambua Rais wa JMT.

Je, Muungano umevunjwa. Tujue moja kwani Rais wa JMT ni wa Bara tu kwa ZNZ hawayatambui matokeo yote kwa ababu kura zilipigwa siku moja na wakati mmoja.
 
Kura za Magufuli na Lowassa kwa Zanzibar nazo zimefutwa?

Hahahaha CCM hali ni mbaya sana! Tatizo sasa hivi ni upinzani tu hauna akili ya ziada hizi ndo zilikuwa nafasi za kuonyesha msimamo mmoja kwa UKAWA Zanzibar na UKAWA bara.

Mngekaa viseversa kama matokeo ya Zanzibar yanafutwa yafutwe mpaka ya bara, na kama ya bara yanabaki yabaki mpaka Zanzibar kwani kama ni dosari hata huku bara zipo.

MBOWE NA TEAM yako mnaonekana akili yenu imefika ukomo!

Usimamizi wa kura za Tanzania uko chini ya Nec na si Zec
 
Wamefuta matokeo ya znz ya nafasi ya urais na uwakilishi, hawajafuta matokeo ya Rais wa muungano, faham kuwa znz wana karatasi zaidi ya 3 za kupigia kura, msitafute pakutokea
kura za urais wa jamuhuri zilikuwa zinapigiwa vituo tofauti na zile za uraisi wa zanzbar, uwakilishi na udiwani?
nulikuwa nakuona una akili kumbe hata boga linakuzidi!!!! pumbafu kabisa.
 
Back
Top Bottom