Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,768
baada ya wana sheria kushitakiana kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kura, nimetokea kujiaminisha kuwa tunao wana sheria ma kanjanja wengi sana tena walio pewa nafasi muhimu
Ila kimsingi Uchaguzi wa ZNZ hauwezi kuadhiri matokeo ya bara kutokana na katiba tuliyo nayo
Nitafafanua zaidi wakati mwingine!
Ila kimsingi Uchaguzi wa ZNZ hauwezi kuadhiri matokeo ya bara kutokana na katiba tuliyo nayo
Nitafafanua zaidi wakati mwingine!