Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

Majaribu2013

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
952
1,043
Kura za Magufuli na Lowassa kwa Zanzibar nazo zimefutwa?

Hahahaha CCM hali ni mbaya sana! Tatizo sasa hivi ni upinzani tu hauna akili ya ziada hizi ndo zilikuwa nafasi za kuonyesha msimamo mmoja kwa UKAWA Zanzibar na UKAWA bara.

Mngekaa viseversa kama matokeo ya Zanzibar yanafutwa yafutwe mpaka ya bara, na kama ya bara yanabaki yabaki mpaka Zanzibar kwani kama ni dosari hata huku bara zipo.

MBOWE NA TEAM yako mnaonekana akili yenu imefika ukomo!
 
Hapa ndo unaweza kumbuka Dr Slaa na Zitti.

Wakumbukwe kwa lipi,kwamba wangekuwepo huo uchaguzi usingerudiwa???wana impact gani kwamba wakiwepo uchaguzi usirudiwe..habari ndo imesikika saa hizi fanya subra uwasikie viongozi wa UKAWA wanasemaje sio kuanza kulaum hapa,kuna vitu huezi'kukurupuka bila kujadiliana na wengine.
 
Kura za Magufuli na Lowassa kwa Zanzibar nazo zimefutwa?

Hahahaha CCM hali ni mbaya sana! Tatizo sasa hivi ni upinzani tu hauna akili ya ziada hizi ndo zilikuwa nafasi za kuonyesha msimamo mmoja kwa UKAWA Zanzibar na UKAWA bara.

Mngekaa viseversa kama matokeo ya Zanzibar yanafutwa yafutwe mpaka ya bara, na kama ya bara yanabaki yabaki mpaka Zanzibar kwani kama ni dosari hata huku bara zipo.

MBOWE NA TEAM yako mnaonekana akili yenu imefika ukomo!

Ni kweli uongozi wa ngazi ya hju wa ukawa umeonesha udhaifu mkubwa sana, shame upon them
 
Kura za Magufuli na Lowassa kwa Zanzibar nazo zimefutwa?

Hahahaha CCM hali ni mbaya sana! Tatizo sasa hivi ni upinzani tu hauna akili ya ziada hizi ndo zilikuwa nafasi za kuonyesha msimamo mmoja kwa UKAWA Zanzibar na UKAWA bara.

Mngekaa viseversa kama matokeo ya Zanzibar yanafutwa yafutwe mpaka ya bara, na kama ya bara yanabaki yabaki mpaka Zanzibar kwani kama ni dosari hata huku bara zipo.

MBOWE NA TEAM yako mnaonekana akili yenu imefika ukomo!

walikuwepo wenye akili kina ZITO, MKUMBO, hawapo tena chadema sasa hivi kabaki na kina prof jay, Sugu, Lema, Kileo,Nassari unategemea kuna kitu hapo?
 
Wamefuta matokeo ya znz ya nafasi ya urais na uwakilishi, hawajafuta matokeo ya Rais wa muungano, faham kuwa znz wana karatasi zaidi ya 3 za kupigia kura, msitafute pakutokea
 
Wasipofuta bara Magufuli atakuwa kachaguliwa na atatambulika Tanzania bara pekee??? Tanzania haitakuwa na Raisi??? Muungano je???
 
nasikia wanamalizia kumvisha lowasa suti akajitangaze mshindi ili uchaguzi ufutwe.....
 
Back
Top Bottom