Huwezi kufanikiwa bila mapenzi

Huwezi kufanikiwa bila mapenzi

SOMA KUMBUKUMBU LA TORATI 8:18 KAMA HUTAKI KUBADILI TITLE CHIFU.

"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom