Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,267
- 4,284
😒😓sawaAsante sana, nimeshanoti kabisa ktk kitabu changu hapa ili ikifika kesho mida hiyo nikukumbushe tu.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
😒😓sawaAsante sana, nimeshanoti kabisa ktk kitabu changu hapa ili ikifika kesho mida hiyo nikukumbushe tu.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa mpole,,kwann hujiamini boss
kumbe ndo mlivoUnaowaongelea hapo sio wanawake wa siku hizi
Wengi waliopo siku hizi wapo after money ili kula bata tu...sio maendeleo
Wengi ndio walivyokumbe ndo mlivo
Labda akili zako ndo ziko ivo, mafanikio yapi unayozungumzia, watoto au kiuchumi.Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke
Nimeona jnc ulivyohuzunika kupitia vikatuni vya WhatsApp ndiyomaana nikajiuliza kwanini uhuzunike tena?kuwa mpole,,kwann hujiamini boss
pic yangu halisi umeiona tyr nadhani mkuuNimeona jnc ulivyohuzunika kupitia vikatuni vya WhatsApp ndiyomaana nikajiuliza kwanini uhuzunike tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
pic yangu halisi umeiona tyr nadhani mkuu
nimeamua kuwa mtumishi mwaminifu kwa kutekeleza ombi lako kbl ya muda
Asante sana.Kufa tu ili muda utoshe maana hakuna thamani ya uhai unaopewa na Mungu.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app