Huwezi amini huyu ni mwanaume

Huwezi amini huyu ni mwanaume

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Jina lake ni Ibrahim Mohamed a.k.a aunt suzy
 
Attachments

  • Picture_186.jpg
    Picture_186.jpg
    38.5 KB · Views: 925
Sasa kama ni dume kwa nini aitwe aunt Suzzy badala ya uncle John?? Na kifuani mbona naona ana matiti?
 
sheria kali kama za iran zinahitajika nchini mwetu kukomesha uchafu huu
 
Aunt Suzzy ndo kifupi cha Ibrahim Mohammed! Sasa wewe unashangaa sura yake, je tigo yake sasa? yan line yake ya tigo kubwaa imezidishiwa tarakimu
 
leo alikuwa anahojiwa clouds yan n nowa
 
Ish!!!! mwanaume amepata wapi breast au sioni vema?
 
Sahihi ungesema ni mwanamke aliyezaliwa mwanaume!
 
Khaa!!

afu jamaa anadai muda wote aliokaa nae kinyumba hakufahamu kama ni mwanaume..tobaa!!does it require a CSEE kugundua sio demu hasa kwa sababu za kimaumbile jamani...ila nimetamani angevua japo tuone kipoje icho kibamia :laser:...hausimiki hausimami!!
 
jamaa kaulizwa kama ngoma inasimama walau mara moja moja,kajibu kuwa hamnaga.aliyelala kalala
 
Back
Top Bottom