King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,050
- 98,266
kama 200000 ndo mshahara wake kwa mwezi?
Kama ameweza kununua "NZIKI NZITO" wa maana ina maanisha mshahara wake sio wa "NCHEZO".
kama 200000 ndo mshahara wake kwa mwezi?
Mbona ni nying Sana niki ziitaji Nita zipataje?The World top 100 Bass Bangers. Youtube wamezipanga kwenye Playlist Moja.
Ni hatari sana.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
This is the list of musics, old and new music selected by panel of DJs and musical experts to form what was formerly know as the best bass taste music however it is currently known as the top 100 Bass Bangers songs.What is this now????
Unayemshauri hivyo unajua capability yake kifedha?Mkuu itoshe kusema tafuta nyumba za kujitegemea,zipo nyumba nyingi tu ya vyumba viwili,sebule,public toi,kitchen kwa laki 2....Ukipanga vyumba vya elfu 30 lazima utakutana na hayo matatizo.
Wee jamaa upo daah kitambo sana
Kama hana fedha ushauri kama huu unaweza kumtia motisha atafute pesa.Unayemshauri hivyo unajua capability yake kifedha?
KonkiSubiria siku amepata wageni anaowaheshimu, weka mkanda wa x, fungulia sauti ya juu. Funga mlango, ondoka.
Tena unaweka repeat mode.
Mfano nyimbo gani
What is this now????
Ilitokea kwa jamaa yangu mmoja baada ya kuwasihi sana wapangaji wenzake kuhusu kupunguza sauti za muziki hasa siku za Weekend ambapo jamaa huwa ana pumzika nyumbani.
Hawakumsikiliza na tabia ile iliendelea.
Alipokuja kuomba ushauri tukiwa kibaruani kijana mmoja akamwambia ni rahisi sana kumaliza hiyo tabia.
Akamshauri yafuatayo:-
1. Siku moja usiku asilale kwake, kwa kuwa wapangaji wenzake wanapiga muziki nyakati za mchana basi yeye apige usiku.
2. Aunganishe laptop kwa LG hometheatre LHD 657 yake na achague nyimbo zenye midundo mikali zile za akina Busta Rhymes na zinazofanana na hizo.
4. Playlist iwe ya walau masaa 10 ili muziki uishie alfajiri.
3. Awashe muziki majira ya saa 12 na kisha afunge mlango wake na aondoke kabisa hapo nyumbani.
4. Volume iwe sio chini ya 60.
5. Azime namba ya simu ambayo wapangaji wananaijua.
Jamaa alifanya kama dogo alivyoshaurina kisha akaenda Bar ya jirani na hatimaye akaenda kulala Lodge.
Siku ya pili.
Saa 12 asubuhi jamaa akarudi alipopanga na kukukuta wapangaji wenzake, mjumbe na mtoto wa mwenye nyumba wamekaa kichovu na hasira juu.
Muafaka
1. Ikakubaliwa kuwa kila mtu asikilize muziki kwa sauti ya chini na kero ile ikaisha na jamaa akaishi kwa raha mustarehe mpaka alipohama.
achana na sea piano chukuwa huu mtambo sea piano hafwatiWekeni picha ya hiyo "Sea Piano" tuione.
tafuta huu mtambo ulete mrejesho sea piano ana kalishwa fresh kabisaSea piano Ni noma
Inashusha mziki balaa
Hii tabia ilishafanya nikapewa notis ya mwezi nihame tabata jamaa alikuwa anapiga mziki saa 1 mpka saa 1 alafu full kelele ubaya mwenye nyumba alikuwa haishi hapo sasa jamaa akajimilikisha nyumba haskii hata,sasa kuna sku kaja kutembelewa na wazee wake akawa amezma kabisa mziki nikasema hapa hapa leo zamu yangu nikaconnect waya wa spekear kwenye pc.Wakuu salama?
Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.
Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.
Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana
Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.
Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.
Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.
Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.
Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)
Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.
Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Gr8 Mkuu hii hata misuguano inafaa Sana yaani bandika banduaNlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
Mzee baba Kuna ngoma ya huyu dogo anajiita machene gun Kelly [emoji38][emoji38] lile bit ni msalaORODHA HII HAPA MKUU
Pop The Trunk , Yelawolf
Shook Ones , Mobb Deep
Real Muthaphuckin G’s , Eazy E
Nuthin But A G Thing , Dr. Dre
Violent , Tupac
Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz
Hussle & Motivate , Nipsey Hussle
Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube
Late Night Tip , Three Six Mafia
Everybody Looking , Gucci Mane
Middle Child , J Cole
This Is How We Do It , Montell Jordan
On My Level , Wiz Khalifa
Blueberry Yum Yum , Ludacris
We On Fire , Hot Boyz
What You Gon Do , Lil Jon
Mo Murda , Bone Thugs N Harmony
Notorious Thugs , Notorious BIG
Come And See Me , Ludacris
Lost , Gorilla Zoe
Humpty Dance , Digital Underground
6 Foot 7 Foot , Lil Wayne
Just A Lil Bit , 50 Cent
Ballin , Logic
Mr. Me Too , Clipse
My Shit Bang , E40
Ric Flair Drip , Metro Boomin
Super Bass , Nicki Minaj
Gangstas Paradise , Coolio
Gz And Hustlas , Snoop Dogg
Rack City , Tyga
Blow The Whistle , Too $hort
Too West Coast , Ice Cube
Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube
Hood Mentality , Ice Cube
Love In This Club , Usher
What You Know , T.I.
Its Going Down , Yung Joc
Patron , Yung Joc
A Milli , Lil Wayne
Play , David Banner
Grindin , Clipse
Nonstop , Drake
Mask Off , Future
Goin Dummi , Future
LSD , ASAP Rocky
Swing My Door , Gucci Mane
So Many Tears , Tupac
Bourbon And Lacs , Master P
South Side , Lil Keke
Air Force Ones , Nelly
Big Poppa , Notorious BIG
Doggystyle , Snoop Dogg
Where Is The Bud , Three Six Mafia
New Level , ASAP Ferg
Wow , Post Malone
Worldwide Choppers , Tech N9ne
Summertime , DJ Jazzy Jeff
What Happened To That Boy , Baby
Bia Bia , Lil Jon
Boyz N The Hood , Eazy E
No Lie , 2 Chainz
Born Stunna , Birdman
Trouble , Major
Goldie , ASAP Rocky
Hate It Or Love It , 50 Cent
Throw It Up , Lil Jon
Money In The Grave , Drake
Clout , Offet
Homicide , Logic
Forgot About Dre , Eminem
2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac
Lay Low , Snoop Dogg
All There , Young Jeezy
Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent
Dipset Anthem , The Diplomats
Bad Boyz , Shyne
Get Throwed , Bun B
Chunk Up The Deuce , Lil Keke
Adrenaline Rush , Twista
Front Porch , Twista
Diamonds & Wood , UGK
Country Shit , Big KRIT
Freaky Things , Ludacris
Some Cut , Trillville
No Problem , Lil Scrappy
Kill Us All , Twista
Fire , Twista
Bank Roll , Lil Boosie
BM JR , Lil Wayne
Tha Mobb , Lil Wayne
Beat Without Bass , Lil Wayne
Country Ass Nigga , Nelly
24’s , T.I.
Smoke A Nigga , Juicy J
What Da Hook Gon Be , Murphy Lee
Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri
Area Codes , Ludacris
Bass Ackwards , Tech N9ne
Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ww kaa naye mpe shule... Mueleze vzr maana ya externalities ( kwa upande wake na kwa jamii pia Tena kiupole atakuelewa) haina haaja ya kupaniki mkuuWakuu salama?