Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Ilitokea kwa jamaa yangu mmoja baada ya kuwasihi sana wapangaji wenzake kuhusu kupunguza sauti za muziki hasa siku za Weekend ambapo jamaa huwa ana pumzika nyumbani.

Hawakumsikiliza na tabia ile iliendelea.
Alipokuja kuomba ushauri tukiwa kibaruani kijana mmoja akamwambia ni rahisi sana kumaliza hiyo tabia.
Akamshauri yafuatayo:-

1. Siku moja usiku asilale kwake, kwa kuwa wapangaji wenzake wanapiga muziki nyakati za mchana basi yeye apige usiku.

2. Aunganishe laptop kwa LG hometheatre LHD 657 yake na achague nyimbo zenye midundo mikali zile za akina Busta Rhymes na zinazofanana na hizo.

4. Playlist iwe ya walau masaa 10 ili muziki uishie alfajiri.

3. Awashe muziki majira ya saa 12 na kisha afunge mlango wake na aondoke kabisa hapo nyumbani.

4. Volume iwe sio chini ya 60.

5. Azime namba ya simu ambayo wapangaji wananaijua.
Jamaa alifanya kama dogo alivyoshaurina kisha akaenda Bar ya jirani na hatimaye akaenda kulala Lodge.

Siku ya pili.

Saa 12 asubuhi jamaa akarudi alipopanga na kukukuta wapangaji wenzake, mjumbe na mtoto wa mwenye nyumba wamekaa kichovu na hasira juu.

Muafaka

1. Ikakubaliwa kuwa kila mtu asikilize muziki kwa sauti ya chini na kero ile ikaisha na jamaa akaishi kwa raha mustarehe mpaka alipohama.
Mimi nilikuwa mhanga Na jirani ...hicho unachokisema.Baaada ya kuumwa na kukaa homa ile kipindi cha Corona mwaka jana.Sio siri kuna mzigo niliufungulia mpaka wanasemezana kuwa huyo jirani hapo ana kitu kizito sana.
Kwa sasa wakijisahau tu wanaambia jamani kuna jirani huyo wacheni hizo sauti.

Nipo tayari hata nilete mziki mzito ule wa Shughuli pale taifa ukae ndani.Sijawahi shindwa na aina hizo za watu.
 
Wakuu salama?

Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.

Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.

Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana

Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.

Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.

Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.

Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.

Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)

Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.

Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Nunua na wewe subwoofer kubwa zaidi geuzia upande wake, akiweka unaweka yako mpaka mwisho kisha unaondoka kwenda kazini...weka nyimbo zijirudie rudie...
 
Ilitokea kwa jamaa yangu mmoja baada ya kuwasihi sana wapangaji wenzake kuhusu kupunguza sauti za muziki hasa siku za Weekend ambapo jamaa huwa ana pumzika nyumbani.

Hawakumsikiliza na tabia ile iliendelea.
Alipokuja kuomba ushauri tukiwa kibaruani kijana mmoja akamwambia ni rahisi sana kumaliza hiyo tabia.
Akamshauri yafuatayo:-

1. Siku moja usiku asilale kwake, kwa kuwa wapangaji wenzake wanapiga muziki nyakati za mchana basi yeye apige usiku.

2. Aunganishe laptop kwa LG hometheatre LHD 657 yake na achague nyimbo zenye midundo mikali zile za akina Busta Rhymes na zinazofanana na hizo.

4. Playlist iwe ya walau masaa 10 ili muziki uishie alfajiri.

3. Awashe muziki majira ya saa 12 na kisha afunge mlango wake na aondoke kabisa hapo nyumbani.

4. Volume iwe sio chini ya 60.

5. Azime namba ya simu ambayo wapangaji wananaijua.
Jamaa alifanya kama dogo alivyoshaurina kisha akaenda Bar ya jirani na hatimaye akaenda kulala Lodge.

Siku ya pili.

Saa 12 asubuhi jamaa akarudi alipopanga na kukukuta wapangaji wenzake, mjumbe na mtoto wa mwenye nyumba wamekaa kichovu na hasira juu.

Muafaka

1. Ikakubaliwa kuwa kila mtu asikilize muziki kwa sauti ya chini na kero ile ikaisha na jamaa akaishi kwa raha mustarehe mpaka alipohama.
Shubamitttttt
 
Kelele za mziki ilikua sababu ya kujenga nyumba haraka, kuna watu hawasikii yaani ni kelele tu
 
Subiria siku amepata wageni anaowaheshimu, weka mkanda wa x, fungulia sauti ya juu. Funga mlango, ondoka.

Tena unaweka repeat mode.
Mimi zamani kidogo kuna watu walioana wakawa wanafanya yao sio kistaarabu nilisubiri binti kajifungua nikanunua mziki mnene kila nikitoka nafungulia Hadi mwisho wakawa mchana hawali na usiku walikuja kuniomba msamaha. Wakati wanafanya Yao nilimtuma MTU wakamjibu kunya walikuwa vijana wadogo niliona aibu hata kuwaface.
 
Mtu kunalianzisha halafu kukimbia katikati ni uharibifu wa mazingira.

Inabidi afagie takataka zake na kuzizoa.

Bila ligi hakuna maendeleo.
😂 Salute kwako mtu akitaka kuanzisha mjadala na wewe inabidi awe amekula na kushiba vizuri
 
Wakuu salama?

Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.

Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.

Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana

Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.

Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.

Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.

Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.

Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)

Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.

Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Kuna dada mpangaji mwezangu nilimzaba vibao hadi kaninunia, mi sipendagi ujinga.
 
kuna hapa nakaa naona wanataka kunijaribu..nimenunua hii Panasonic Super woofer sio subwoofer..hiyo ni Superwoofer hatari sana sana..ina balaa si ya nchi hii

images (2).jpeg
 
Wakuu salama?

Katika maisha yote ya upangaji hamna kitu kinanikera kama baadhi ya wapangaji kufungulia subwoofer kwa sauti kubwa.

Hii kiukwel huwa inanikata stimu, inafikia ile time ya kurud magethon huna hamu kwa sbb ukiingia tuu utafikir umetoka kanisan unaingia disco.

Kuna mwanamke mmoja amepanga chumba kinachokaribia na chumba changu, anafujo huyo mama kwa upande wa mizik alaf kibaya zaid n taraabu mwanzo mwisho na nyimbo zote za kusutana

Juz mzee wangu alipita kwangu akiwa ametokea mkoa fulan akaona aweke kambi kwangu kwa siku moja, usiku tumelala yule mwanamke kafungulia subwoofer volume 52+, mzee wangu akaniuliza kijana wangu zile simu za usiku tunazowasiliana nakuuliza upo club kumbe ndo hivi, nilijiskia vibaya sana.

Asubuh yake tumeamka ding akaendelea na safar nikamfata yule mwanamke nikamchana akaenda kupunguza, lakn nilirud mchana nikakuta vile vile yaan.

Nilishajaribu kuongea na baba mwenye nyumba akanijibu hat yy ameshapiga kelele kuhusu wapangaji kupiga miziki kwa fujo lakn huyo mwanmke hasikii.

Hapo nyuma kabla hajaja huyo mwanamke kulikuw shwari kabsaa.

Niliwaza sijui niwe naacha nimefungulia SEA PEANO yangu niweke full bass volume 60[emoji1](simnaijua sea peano inaweza angusha ukuta)

Nawaza niwe nafanya ivo nafungulia SEA PEANO nafunga chumba natimkia job af niwe narud night sana.

Wajuba nyie huwa mnaikabili vipi hii situation.
Jibu unalo hapo ndugu.
Dawa ya moto ni kuwacha moto mkali zaidi.
Akiwasha subwoofer yake na wewe washa ya kwako kwa sauti ya juu zaidi. Hakikisha inatwanga muziki tofauti kabisa na swaga zake. Akiwa amezima subwoofer yake, wewe washa ya kwako. Mpeleke mpera mpera hivyo hivyo mpaka heshima irudi yenyewe.
 
Back
Top Bottom