Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

Wanaokushauri umle wanakosea, sana sana ndiyo utajua kwanini volume iwe juu.

Wanaokuambia ujenge nyumba yako hawana tofauti na kiongozi ambaye alilalamikiwa mikate hakuna halafu akajibu "Tengenezeni keki"

Wanaokuambia ushindane naye ni shwaini pia kwakua ukiwa unaoga chizi akiiba nguo zako akakimbia nazo ukimkimbiza ni wewe ndiye utaonekana chizi.

Mimi bwana kiukweli sina ushauri sababu pekee nipo macho kuna binti ameniambia atanishtua wapangaji wenzake wakilala niibuke kwa mlango wa nyuma. So nipo uwanja wa Mwananyamala A hapa.
 
Nlivokua chuo hilo tatizo lilikuepo sana Download app inaitwa sleep sounds, inasauti mbalimbali. Me nlikua naweka sauti ya mvua alaf nacoonect na bluetooth speaker alaf unaweka volume adi mwisho. Usiku unalala usingizi mzuri tu.
Kelele juu ya kelele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kuna jirani zangu wana hiyo tabia yani asubuhi mapema iwe ni weekdays au weekends asubuhi wanaanza na bongo flavor na huo muda watoto wanakua wamelala, na ni wadogo kwahiyo wanaamshwa na makerere yani ni lazima watoto waamke, kwa kweli ni kero, na ni wadada walio bleach nywele i think unaelewa hawa wadada wa mithili hii walivyo ila ni ulimbukeni tu
Nielekeze wanapokaa hayo mimi ndiyo mambo yangu.
 
Hata mimi ilikuwa hivyo mpangaji mwenzangu ikawa hamuogopi hata mwenye nyumba yeye kutwa mziki anafungulia sauti ya juu sana ila siku moja wakati nipo msikitni baada ya kumaliza swala vikapitishwa vikapu vya sadaka Mimi nikatia elfu mbili huku nikitia nia yangu tokea hapo hata wiki haikufika mredio ukaungua.
 
Ilitokea kwa jamaa yangu mmoja baada ya kuwasihi sana wapangaji wenzake kuhusu kupunguza sauti za muziki hasa siku za Weekend ambapo jamaa huwa ana pumzika nyumbani.

Hawakumsikiliza na tabia ile iliendelea.
Alipokuja kuomba ushauri tukiwa kibaruani kijana mmoja akamwambia ni rahisi sana kumaliza hiyo tabia.
Akamshauri yafuatayo:-

1. Siku moja usiku asilale kwake, kwa kuwa wapangaji wenzake wanapiga muziki nyakati za mchana basi yeye apige usiku.

2. Aunganishe laptop kwa LG hometheatre LHD 657 yake na achague nyimbo zenye midundo mikali zile za akina Busta Rhymes na zinazofanana na hizo.

4. Playlist iwe ya walau masaa 10 ili muziki uishie alfajiri.

3. Awashe muziki majira ya saa 12 na kisha afunge mlango wake na aondoke kabisa hapo nyumbani.

4. Volume iwe sio chini ya 60.

5. Azime namba ya simu ambayo wapangaji wananaijua.
Jamaa alifanya kama dogo alivyoshaurina kisha akaenda Bar ya jirani na hatimaye akaenda kulala Lodge.

Siku ya pili.

Saa 12 asubuhi jamaa akarudi alipopanga na kukukuta wapangaji wenzake, mjumbe na mtoto wa mwenye nyumba wamekaa kichovu na hasira juu.

Muafaka

1. Ikakubaliwa kuwa kila mtu asikilize muziki kwa sauti ya chini na kero ile ikaisha na jamaa akaishi kwa raha mustarehe mpaka alipohama.
 
Tuliwahi kukaa kambini wakati flani yale maisha ni zaidi ya nyumba za kupanga.

Tabia za kiswahili swahili, kufatiliana maisha, yan watu wanayajua maisha yako kuliko wewe mwenyewe, hilo la mziki ndio usiseme na mm siku moja moja sikua nyuma nilikua nafungulia vizuri tu.

Usafi ni changamoto ikifika zam yetu nitafanya kama vile nafanya kwetu subiri za wenzio hutamani hata kuingia msalani.
 
mkuu umenifumbua macho ,sema hiy ya volume 60 nishawah kufungulia volume 52 tu mchanga waukutan ulianza kudondoka dondoka,
 
Pole kwa kazia mkuu, mimi nafikiri inategemeana umepanga na watu wa aina gani binafsi hapa ninapoishi wote ni wastaarabu so ni ngumu kupandisha sauti ya juu shida inakuja unapopanga kwenye wale wakina mwajuma ndala ndefu mara kaweka taarabu za misuto ni shida tupu nawashauri wadau tafuteni mahala penye wastaarabu ndio mpange
 
Tuliwahi kukaa kambini wakati flani yale maisha ni zaidi ya nyumba za kupanga.

Tabia za kiswahili swahili, kufatiliana maisha, yan watu wanayajua maisha yako kuliko wewe mwenyewe, hilo la mziki ndio usiseme na mm siku moja moja sikua nyuma nilikua nafungulia vizuri tu.

Usafi ni changamoto ikifika zam yetu nitafanya kama vile nafanya kwetu subiri za wenzio hutamani hata kuingia msalani.
kuna ile unaingia choon unakuta mtu kajisaidia hajaflash inabid usafishe mwenyew maana ukitoka watajua n ww tu
 
hahahah mnangu hivi ulisema n nyimbo gan zenye mikito ya maana niandae playlist kabsa
ORODHA HII HAPA MKUU

Pop The Trunk , Yelawolf

Shook Ones , Mobb Deep

Real Muthaphuckin G’s , Eazy E

Nuthin But A G Thing , Dr. Dre

Violent , Tupac

Da Blow , Lil Jon & The East Side Boyz

Hussle & Motivate , Nipsey Hussle

Gangsta Rap Made Me Do It , Ice Cube

Late Night Tip , Three Six Mafia

Everybody Looking , Gucci Mane

Middle Child , J Cole

This Is How We Do It , Montell Jordan

On My Level , Wiz Khalifa

Blueberry Yum Yum , Ludacris

We On Fire , Hot Boyz

What You Gon Do , Lil Jon

Mo Murda , Bone Thugs N Harmony

Notorious Thugs , Notorious BIG

Come And See Me , Ludacris

Lost , Gorilla Zoe

Humpty Dance , Digital Underground

6 Foot 7 Foot , Lil Wayne

Just A Lil Bit , 50 Cent

Ballin , Logic

Mr. Me Too , Clipse

My Shit Bang , E40

Ric Flair Drip , Metro Boomin

Super Bass , Nicki Minaj

Gangstas Paradise , Coolio

Gz And Hustlas , Snoop Dogg

Rack City , Tyga

Blow The Whistle , Too $hort

Too West Coast , Ice Cube

Ya’ll Know Who I Am , Ice Cube

Hood Mentality , Ice Cube

Love In This Club , Usher

What You Know , T.I.

Its Going Down , Yung Joc

Patron , Yung Joc

A Milli , Lil Wayne

Play , David Banner

Grindin , Clipse

Nonstop , Drake

Mask Off , Future

Goin Dummi , Future

LSD , ASAP Rocky

Swing My Door , Gucci Mane

So Many Tears , Tupac

Bourbon And Lacs , Master P

South Side , Lil Keke

Air Force Ones , Nelly

Big Poppa , Notorious BIG

Doggystyle , Snoop Dogg

Where Is The Bud , Three Six Mafia

New Level , ASAP Ferg

Wow , Post Malone

Worldwide Choppers , Tech N9ne

Summertime , DJ Jazzy Jeff

What Happened To That Boy , Baby

Bia Bia , Lil Jon

Boyz N The Hood , Eazy E

No Lie , 2 Chainz

Born Stunna , Birdman

Trouble , Major

Goldie , ASAP Rocky

Hate It Or Love It , 50 Cent

Throw It Up , Lil Jon

Money In The Grave , Drake

Clout , Offet

Homicide , Logic

Forgot About Dre , Eminem

2 Of Amerikas Most Wanted , Tupac

Lay Low , Snoop Dogg

All There , Young Jeezy

Im Supposed To Die Tonight , 50 Cent

Dipset Anthem , The Diplomats

Bad Boyz , Shyne

Get Throwed , Bun B

Chunk Up The Deuce , Lil Keke

Adrenaline Rush , Twista

Front Porch , Twista

Diamonds & Wood , UGK

Country Shit , Big KRIT

Freaky Things , Ludacris

Some Cut , Trillville

No Problem , Lil Scrappy

Kill Us All , Twista

Fire , Twista

Bank Roll , Lil Boosie

BM JR , Lil Wayne

Tha Mobb , Lil Wayne

Beat Without Bass , Lil Wayne

Country Ass Nigga , Nelly

24’s , T.I.

Smoke A Nigga , Juicy J

What Da Hook Gon Be , Murphy Lee

Welcome To Atlanta , Jermaine Dupri

Area Codes , Ludacris

Bass Ackwards , Tech N9ne

Ukipiga hii lazima wakufuate mtaani kuja kukuomba msamaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom